Nani bado anabisha kuhusu S2KIZZY kuwa ndio producer namba moja Tanzania?

kwahiyo wewe kuwa chawa wa wasafi ndo unajiona mjanja kinoma!
wewe ni mjinga tu uliye
jificha nyuma ya keyboard ukitype kuona wangapi
watakuwa upande wako wa uchawa
tafuta hobby nyingine tofauti na kushabikia wasafi
kenge wewe
Upo nje ya mada mkuu.
 
P Funk ukimweka pembeni nani kati yao anafikia hitsong za S2kizzy?

Nani alishapata international recognition kama S2kizzy?

Zombie ni Grammy nominated.
Unazungumzia Grammy nominations kwa Tanzania katika enzi ambazo hata access ya internet Bongo shida,,,unatania aiseeh....

Kwa mtu anayesema anaujua mziki, hauwezi leta hoja ya Kindezi kama hiyo....
 
Hit songs nyingi za s2keezy umezipima kupitia viewers si ndio?
Za miika mwamba au master jay zenyewe unazipima vipi?
Hitsong haiitaji YouTube kuwa hitsong. Nyimbo za Chino wanaman hazina namba kubwa online lakini balaa lake unalijua mtaani. Zombie ni shughuli nyingine.
 
Mimi nimekulia kwenye muziki, mastaa wengi uliokuwa unawasikia redio enzi unakua walikuwa wanakula ugali home ndio wanaenda kurekodi kwa majani. Huu muziki nimeushuidia toka day one so naelewa sana nachokizungumza.
so umesema majani namba moja kisa umekulia kwao....🤣🤣🤣
Hapo nyimbo zimejikita kwenye views na si hits....
Ndani ya kipindi cha miaka 20,population ya Tanzania imeongezeka by 20 Million people mkuu.
 
Unazungumzia Grammy nominations kwa Tanzania katika enzi ambazo hata access ya internet Bongo shida,,,unatania aiseeh....

Kwa mtu anayesema anaujua mziki, hauwezi leta hoja ya Kindezi kama hiyo....
Mwaka 1991 mpiga ngoma wa kinaija anaitwa Babatunde anachukua grammy bila uwepo wa YouTube wala Spotify. Miaka ya 2000 kina master jay wanaleta excuse ya social media ndio maana hawakuonrkana kazi zao.
 
so umesema majani namba moja kisa umekulia kwao....🤣🤣🤣
Hapo nyimbo zimejikita kwenye views na si hits....
Ndani ya kipindi cha miaka 20,population ya Tanzania imeongezeka by 20 Million people mkuu.
Huna akili mkali niamini mimi.
 
Mwaka 1991 mpiga ngoma wa kinaija anaitwa Babatunde anachukua grammy bila uwepo wa YouTube wala Spotify. Miaka ya 2000 kina master jay wanaleta excuse ya social media ndio maana hawakuonrkana kazi zao.
Mkuu
Nchi ya Nigeria ndiyo yaongoza kuwa Diaspora wa kiafrika wengi Marekani....
Bongo hata 10 bora haipo....
So wana nafasi kubwa ya kazi zao kuskika huko.
Yani hizo hoja zako ni kushangaza sana.
 
Nani anafikia hitsong za s2keezy? Hao wote wamemzidi s2keezy kwa kutengeneza hit songs.

Lakini unataka wimbo wa mikasi au kamanda au wimbo wa mtoto wa geti kali ziwe na viewers wengi you tube kuliko za leo za s2keezy?

Zamani tulikua nyuma kiteknolojia ndio maana hata kupata recognition kwenye tuzo kubwa ilikua ngumu. Tofauti na sasa, ukiwa na viewers wengi tu ni rahisi kuwa nominated kwenye tuzo nyingi kubwa.

Ndio maana unaona leo hata Sony wanamfuata kumsainj young lunya, lakini haimaanishi lunya ni bora kwenye hip-hop kuliko fid q au prof jay
Aliyemzidi Zombie ni Majani tu. Hitsong za Zombie 2023 ni zaidi ya hits zote alizowai tengeneza Master Jay. Alafu mie nimezungumzia hitsong sijaongelea YouTube ndio maana nimemtaja majani ambae namba zake YouTube ni ndogo sana.
 
Mkuu
Nchi ya Nigeria ndiyo yaongoza kuwa Diaspora wa kiafrika wengi Marekani....
Bongo hata 10 bora haipo....
So wana nafasi kubwa ya kazi zao kuskika huko.
Yani hizo hoja zako ni kushangaza sana.
Angelique kidjo anachukua grammy miaka ya 90 na hatokei Nigeria ila muziki wake ulifika maandishi matatu.
 
Master wa ku-sample
Enjoy sample from who's your guy
Yataniua from PBUY
Babalao from soapy
Loyal from Essence
Jeje from Joro

And then unasema unajua mziki....dogo utapewa za chembe....
😂😂😂🤣🤣

Una akili kweli....
 
Angelique kidjo anachukua grammy miaka ya 90 na hatokei Nigeria ila muziki wake ulifika maandishi matatu.
Mkuu....
Hao wana Diaspora wa kutosha huko....
Miaka hiyo wabongo wanaangaikia kwenda South Africa....

Angalia hata kwenye movies,most of Africans,wanatokea West ...
 
View attachment 2983488

Naona kuna watu wanaleta ubishi usio na msingi kuhusu ukubwa wa producer namba moja Tanzania S2KIZZY aka Zombie.

Lakini wote wanaobisha wanasukumwa na chuki hawana sababu ya msingi.

Ukweli ni huo Zombie ndio producer namba moja Tanzania na ni namba 2 kwa muda wote nyuma ya PFunk Majani.
S2KIZZY producer no 1 Tanzania, PFunk na Master J wao wame expired
 
View attachment 2983488

Naona kuna watu wanaleta ubishi usio na msingi kuhusu ukubwa wa producer namba moja Tanzania S2KIZZY aka Zombie.

Lakini wote wanaobisha wanasukumwa na chuki hawana sababu ya msingi.

Ukweli ni huo Zombie ndio producer namba moja Tanzania na ni namba 2 kwa muda wote nyuma ya PFunk Majani.
Kuna maproducer siku izi ???!! au maproducer wanao sample music 😇😇
 
Weka List nyimbo zilizobamba kanakwamba zikawa za Taifa, na ziwe na Biti kali.
Siyo unakuja weka nyimbo kama Tetema halafu unasema ni biti kali....
Una akili kweli...🤣🤣🤣🤣
Weka Street Anthem 10 za huyo producer...
  • Original beat,no sampling
  • Zimetamba East and Central Africa
  • Biti kali
  • Zimekaa kileleni for 3months bila kuchuja..
 
Muziki upo tempered sana, number za viwes sio kigezo cha kusema he's the best...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom