Nani bado anabisha kuhusu S2KIZZY kuwa ndio producer namba moja Tanzania?

sinza pazuri

JF-Expert Member
Aug 16, 2014
2,583
7,462
20240507_173040.jpg


Naona kuna watu wanaleta ubishi usio na msingi kuhusu ukubwa wa producer namba moja Tanzania S2KIZZY aka Zombie.

Lakini wote wanaobisha wanasukumwa na chuki hawana sababu ya msingi.

Ukweli ni huo Zombie ndio producer namba moja Tanzania na ni namba 2 kwa muda wote nyuma ya PFunk Majani.
 
MIKAMWAMBA:LIST LAKE

  • Julieta - Dully Sykes (2000)
  • Athumani Mlevi - Solid Ground Family (2001)
  • Baby Gal - Mad Ice (2002)
  • Tupa Mawe - Zahrani na Complex (2001)
  • Twenzetu - Chegge, Ferouz na Mh Temba (2005)
  • Elimu Mitaani.com - Dknob (2003)
  • Kitu Gani - Dknob (2007)
  • Tamara + ni wewe - Hard Mad
  • Eno maiki - Ziggy Dee (Uganda)
  • Nakupenda Mpenzi - Dudu Baya
  • get down - Prezo ft Naziz (Kenya)
  • Twenzetu - Chege
  • Baby Gal + wange - Mad Ice
  • Maria Salome - Saida Karoli
  • Kamanda + barua - Daz Nundaz
  • wanoknok + Taswira + dingi - Mandojo na domokaya
  • Picco - Kikongwe
  • Kwenye Chati - Balozi
  • Mtoto wa geti kali - Inspector Haroun
  • Elimu mtaani + sauti ya gharama - D knob
  • Mkiwa - K sal ft Ferooz
  • Salome + Julieta + Hi - Dully Sykes
  • Raha tu - AY
  • Mambo vipi - Mchizi Mox
  • Solid Ground Family - Bush party
  • Nini mnataka mazee- Pig black
Na nyingine sijazitaja hapo....kuwa na adhabu kijana
 
MIKAMWAMBA:LIST LAKE

  • Julieta - Dully Sykes (2000)
  • Athumani Mlevi - Solid Ground Family (2001)
  • Baby Gal - Mad Ice (2002)
  • Tupa Mawe - Zahrani na Complex (2001)
  • Twenzetu - Chegge, Ferouz na Mh Temba (2005)
  • Elimu Mitaani.com - Dknob (2003)
  • Kitu Gani - Dknob (2007)
  • Tamara + ni wewe - Hard Mad
  • Eno maiki - Ziggy Dee (Uganda)
  • Nakupenda Mpenzi - Dudu Baya
  • get down - Prezo ft Naziz (Kenya)
  • Twenzetu - Chege
  • Baby Gal + wange - Mad Ice
  • Maria Salome - Saida Karoli
  • Kamanda + barua - Daz Nundaz
  • wanoknok + Taswira + dingi - Mandojo na domokaya
  • Picco - Kikongwe
  • Kwenye Chati - Balozi
  • Mtoto wa geti kali - Inspector Haroun
  • Elimu mtaani + sauti ya gharama - D knob
  • Mkiwa - K sal ft Ferooz
  • Salome + Julieta + Hi - Dully Sykes
  • Raha tu - AY
  • Mambo vipi - Mchizi Mox
  • Solid Ground Family - Bush party
  • Nini mnataka mazee- Pig black
Na nyingine sijazitaja hapo....kuwa na adhabu kijana
I respect Mika ila namba hazimbebi
 
Ubora wa mziki umeshuka Sana Tz hivyo anaweza kuwa bora Ila hawezi Kuwa GOAT.

Sijaona hit song ambayo imesumbua hata mwaka 1

Producer bora anapendeza akikutana na msanii bora.
Kwa sasa muziki wetu una ubora wa hali ya juu. Kuna nyimbo ambazo ni kubwa sana za zamani zimeondoloewa kwenye platforms kubwa za muziki sababu hazina ubora.
 
Kwa sasa namba moja ni kweli. Kwa muda wote namba 2 sio kweli hata top 10 hawezi kuwemo
Watu wa zamani uwa mnakumbushwa moment nzuri na muziki wa zamani sio kwamba kila hitsong ya zamani ilikuwa na ubora kuliko ya sasa. S2KIZZY anawakalisha wote unaopenda sound zao.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom