Namna mbegu ya Umasikini inavyopandwa na kumea kwenye Familia/Koo

Zemanda

JF-Expert Member
Jan 10, 2021
6,829
14,287
Jinamizi la umasikini ni jinamizi la kale sana ambalo limeshika jamii ya mtanzania kwa sehemu kubwa. Ukiweka familia 10 utakuta zenye afadhali hazizidi 2.

Kihistoria, tokea awamu ya kwanza jamii ya mtanzania imetangaza vita na kumtaja umasikini kama adui wa taifa anae takiwa kutokomezwa haraka sana. Leo nimeona niliongelee hili ili kwapamoja tuweze kushare experience ya vyanzo vya umasikini kumea katika jamii yetu.

Zifuatazo ni dalili, chanzo, mbolea au vichochezi vya umasikini na kuufanya uendelee kukua:

1. Kukosekana kwa uongozi imara ngazi ya familia ambao utakuwa ni chachu ya usimamizi wa rasilimali zilizopo au upatikanaji wa rasilimali ili ziweze kuleta mabadiliko na kuatoa wanafamilia kwenda hatua ya juu.

2. Kuendekeza na kuwekeza zaidi katika imani mbali mbali ili zilete matokeo badala ya kutumia vipimo vya kimantiki katika kufanya maamuzi sahihi badala ya kubashiri au kubahatisha.

3. Wazazi kuwa na uwezo mdogo wa kutambua vipaji na uwezo wa watoto wao ambavyo endapo vingetazamwa kwa jicho la utulivu vingekuwa ni vyanzo vizuri vya mabadiliko makubwa.

4. Wazazi kuamini kurithisha watoto wao mali waziendeleze ni kuwalemaza. Kihistoria watoto hupata utajiri kutoka kwa wazazi na wao hupanda nao kuelekea juu eg jamii za wahindi,waarabu,wachina,wazungu. Mzazi aliyekulia kijijini, akafanikiwa kutoka kuja mjini na kujijenga vema, ni hasara na umasikini kudhania mtoto wake atatakiwa kupitia taabu kama zake ili afanikiwe. Kumbuka mtoto amezaliwa kwenye mafanikio so anatakiwa kuendelezewa safari ya mafanikio.

5. Wazazi wenye watoto wengi mfano, 5 hadi 12 au zaidi kuwalea watoto wao bila misingi ya umoja wa kiuchumi yaani kutafuta kwa ushirikiano. Wazazi wanakazana kusisitiza watoto wapendane ila wanashindwa kuwasisitiza kufanya kazi pamoja kwa kujitoa. Matokeo yake wanapofariki watoto hawana umoja wa kiuchumi ila wana umoja wa unafiki na kuchukiana sababu kila m'moja hataki kuona mwenzake anakuwa successor wa uchumi wa familia.

6. Kuendekeza UJIMA. Hii ni ile tabia ya kukamua ng'ombe ambaye haujashiriki wala haushiriki kumpeleka machunga. Hii tabia ni common sana kwa waafrika hadi imepewa jina Black Tax. Wakati ukitafuta hakuna atakayeshirikiana na wewe tena kwa makusudi wala kujitoa ila siku utakapoanza kupata matunda ya bidii yako utashangaa msururu wa wachumia tumbo au parasite wanaotaka mgao sawa na wewe as if wapo entitled na mali zako.

7. Kujazana uoga na kuwa na program za kifamilia zisizo na hatima ya kueleweka. Mzazi atagoma kukupa million 2 ila yupo tayari kukuchangia ada kutoka primary hadi chuo kwa mamilioni ya pesa zaidi ya hata million 30. Shida ni mtazamo kuwa kujiajiri ni sawa na kufeli maisha, ila ukipata ajira utakuwa tajiri kwa pesa za ufisadi. Na ukisema upambane mwenyewe hakuna mtu atakuwa positive na wewe ngazi ya familia zaidi ya kuhofia kuwa ni lazima utafeli.

8. Familia nyingi hutazama pesa na mali kama trophies na sio mtaji wa kuwapandisha. Na ndio maana hata mzazi akistaafu au kuuza mali yake kwa pesa nzuri huwezi kuta anaketi na watoto wake na kuunda team ya biashara ili waanze kufanya uwekezaji wataona bora watumbue pesa ziishe wafe masikini.

Hizi ni miongoni mwa sababu chache sana ambazo naweza kukupatieni ila kimsingi, zipo sababu nyingi sana zaidi ya hizi.
 
Chanzo kikubwa cha umaskini ni kukosa elimu. Kama una watoto, urithi mzuri utakaoweza kuwapatia ni elimu na malezi mema. Ninaposema elimu namaanisha elimu na siyo hii ''elimu'' ya Tanzania ya kukariri ili watu waweze kujibu maswali ya mtihani. Ukiwa na elimu, unaweza kwenda kuishi nchi yoyote na utapata kazi ya kufanya.
 
Wewe unaongea vitu gani? Hakuna unalolijua! Hata hao masikini unaowaongelea ukiwaendea ukawaambia nyie ni masikini watakupiga mawe kwa kuwatusi! Wengine watakuambia umasikini wetu unakuhusu nini! Fanya yako kwa vile hakuna aliyekuja kwako kukuomba ugali!
 
Chanzo kikubwa cha umaskini ni kukosa elimu. Kama una watoto, urithi mzuri utakaoweza kuwapatia ni elimu na malezi mema. Ninaposema elimu namaanisha elimu na siyo hii ''elimu'' ya Tanzania ya kukariri ili watu waweze kujibu maswali ya mtihani. Ukiwa na elimu, unaweza kwenda kuishi nchi yoyote na utapata kazi ya kufanya.
Usije kujidanganya kuwa na Elimu bora au kuwa na kazi kunaweza kukufanya ukaondokana na umaskini.
Nenda chunguza na utagundua kuna utitiri wa wasomi na wafanyakazi ni maskini wa kutupwa.

Umaskini ni mtazamo wa kifikra kwa 100% na sio kutokuwa na akili au kukosa pesa, ajira au elimu ya darasani pekee haviwezi kukutoa kwenye umaskini.
 
Wewe unaongea vitu gani? Hakuna unalolijua! Hata hao masikini unaowaongelea ukiwaendea ukwaambia nyie ni masikini watakupiga mawe kwa kuwatusi! Wengine watakuambia umasikini wetu unakuhusu nini! Fanya yako kwa vile hakuna aliyekuja kwako kukuomba ugali!
Umaskini una maana pana,kuna mwengine akila leo akishiba kwake yeye siyo maskini nadhani mada haihusiani na hao na hata kama ni wao inabidi kabla ya kusema mtu ni maskini mpe fact kwanza kwanini unasema hivyo.
 
Mkuu umegusia mlemle kabisa, mm nahisi waafrika kuna laana flan ambayo ni ngumu sana kuieleza huenda tulirithi kwa wakoloni au sjui imesababishwa na nini! Ila mwafrika hawezi msapoti mwafrika mwenzie hata siku moja hata kama ni ego tumezidi hakika.

Nb/ hayo yote chanzo kikuu ni ujinga. Na ujinga huu si wa kisomi bali ni wa kifikra. Mm nahisi tumedumazwa na kuamini imani zisizo na mashiko, kuiga lifestyle na maisha ambayo hatuyamudu, kusoma kupata vyeti, umbea na majungu, ukabila na udini. Katika ngazi ya familia sasa ndugu nao hawaaminiki. So tunabaki kuchukiana tu
#being rich is personal gain, being wealthy is generational gain.
 
Brother kwanza Asante Sana kwa mada ila naona umeangalia kwa upande wa wazazi vipi kuhusu serikali kuanaangalia upya mitaala na kutoA Elimu ambayo italeta chachu juu ya Maendeleo yetu.Badala yake serikali imejikita kuufundisha uzalendo na uadilidu ambapo asilimia 90 ya jamii aishi humo sababu ya umasikini na miongoni mwa sababu tajwa ambazo umekwishwa ziorodhesha
 
Back
Top Bottom