Nakutafuta 'Mke Mwema'

May 12, 2019
60
101
Jinsi: Me,

Umri: 28, sina mtoto, sijawahi kuoa.

Kazi: Mwalimu, Muandishi.

Makazi: Moshi (kwa muda),

Imani: Mkristo,

Sifa: Mweusi, Mrefu, ....

'Naamini Mke mwema anaweza kupatikana hapa pia '

Natafuta Mwanamke mwenye Umri wa kati ya miaka 18 hadi 30. Lengo ni ili awe Mke wangu:

Mwanamke ninayemhitaji:

Awe na akili ya kuwa mke na mama wa watoto.

Awe na Heshima.

Awe Mkristo au Mwenye utayari wa kuwa Mkristo.

Sijali kuhusu usomi au kutokusoma.

Ikiwa ana mtoto isiwe zaidi ya 1.

Uzuri/Urembo ni sifa ya ziada.

Kwa aliye na sifa tajwa karibu PM tuzungumze.

Nina maanisha nilichoandika.

The Conspiracist'.
 
Kumbe ata singo maza uko tayari kumpokea tu, ila jua kupata mke ni mchakato sio tukio kama unavotaka
 
Mimi mwaka wa 7 huu natafuta sipati! Aisee bora ujaribu tu upande mwingine. Mfano facebook huko. Wanawake wa humu wanapenda kuolewa na matajiri tu.

Ila siyo mwalimu kama wewe, mlinzi wa Halmashauri kama mimi, mganga wa kienyeji kama Mshana Jr, Msanii uchwara wa muziki na anaye lazimisha kuimba kama Civilian Coin, nk.
 
Sawa Mkuu.
Lolote linaweza kutokea, ni mapema sana kufanya hitimisho.
 
Mimi mwaka wa 7 huu natafuta sipati! Aisee bora ujaribu tu upande mwingine. Mfano facebook huko. Wanawake wa humu wanapenda kuolewa na matajiri tu.

Ila siyo mwalimu kama wewe, mlinzi wa Halmashauri kama mimi, mganga wa kienyeji kama Mshana Jr, Msanii uchwara wa muziki na anaye lazimisha kuimba kama Civilian Coin, nk.
Mkuu umewaza nini lkn😂😂😂 , tunampenda mtu siyo kazi yake 😂
 
Mimi mwaka wa 7 huu natafuta sipati! Aisee bora ujaribu tu upande mwingine. Mfano facebook huko. Wanawake wa humu wanapenda kuolewa na matajiri tu.

Ila siyo mwalimu kama wewe, mlinzi wa Halmashauri kama mimi, mganga wa kienyeji kama Mshana Jr, Msanii uchwara wa muziki na anaye lazimisha kuimba kama Civilian Coin, nk.
Mnakosaje akati humuhumu kuna wanawake wanatafuta waume.taftaneni bhn
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom