Nakumbushia wakuu aliye na connection ya kazi ya ulinzi (kampuni/private personel) anisaidie

So baada ya kuambiwa akatumia connection akapata?

Unaweza usiwe sahihi, ila kwa kuwa ni mtizamo wako inabidi niuheshimu. Ajira zote mishahara inafanana tu, iwe polisi, mwalimu, mlinzi, magereza, zima moto nk. Hakuna mwajiri anakuajiri ili uwe tajiri bali unaajiriwa ili kumfanya yeye tajiri. Kinachotakiwa ni uvumilivu tu. kuna watu wako wako kwenye Cooperate security mishahara wanayolipwa hata RPC hawakuti, wewe unataka kutueleza nini? Kuna walinzi kwenye hayo hayo makampuni kutegemeana na mteja wanayemlinda wanapokea siyo chini ya 500K mpaka 700k. Mwalimu analipwa shilingi ngapi? Mimi niko kwenye Sekta ya ulinzi lakini hata MD hanikuti kwa mshahara, fanya research kwanza.
Ulinzi kwa sasa ni ajira kama ajira nyingine tu. Nambie wafanyakazi kwenye Halimshauri wanalipwa shilingi kwa mwezi? Nesi je?
Poa basi mpe connection dogo mpige hela Si Tambo na tupu
 
Naomba namimi nikushauri japo sina kitu pambana utafute laki 3 na wadhamini 4 ukishapata hiyo kazi ya ulinzi nenda kwenye makampuni ya pikipiki yanakopesha boda kwa kianzio cha laki 3 na marejesho kila siku ukimbie barabarani kazi ya boda inakupeleka sehemu nyingi ambazo unaweza ona fursa
 
kampuni gani hiyo
 
So baada ya kuambiwa akatumia connection akapata?

Unaweza usiwe sahihi, ila kwa kuwa ni mtizamo wako inabidi niuheshimu. Ajira zote mishahara inafanana tu, iwe polisi, mwalimu, mlinzi, magereza, zima moto nk. Hakuna mwajiri anakuajiri ili uwe tajiri bali unaajiriwa ili kumfanya yeye tajiri. Kinachotakiwa ni uvumilivu tu. kuna watu wako wako kwenye Cooperate security mishahara wanayolipwa hata RPC hawakuti, wewe unataka kutueleza nini? Kuna walinzi kwenye hayo hayo makampuni kutegemeana na mteja wanayemlinda wanapokea siyo chini ya 500K mpaka 700k. Mwalimu analipwa shilingi ngapi? Mimi niko kwenye Sekta ya ulinzi lakini hata MD hanikuti kwa mshahara, fanya research kwanza.
Ulinzi kwa sasa ni ajira kama ajira nyingine tu. Nambie wafanyakazi kwenye Halimshauri wanalipwa shilingi kwa mwezi? Nesi je?
Motivation speaker..wewe utakua sehemu ya wale top kwenye kampuni mnayo wanyonya hawa wa nchini .ukwel au jifichi walinzi wana maisha magumu mshahara mdogo nao ni omba omba tu imagine una toa pesa ATM mtu ana omba buku , utazani ATM ina toa buku buku
 
Uwezo wako wa kufikiri umefikia hapo, kampuni yoyote ya ulinzi haitaji motivation speaker kwa ajili ya kupata staff au walinzi, kwanza kila siku ukipita nje ya mageti ya hizo kampuni graduates wamejaa wakitafuta hizo nafasi, sasa motivation speaker wa kazi gani?
Pili mimi nilishavuka hiyo stage ya kufanyia security firm ilipwe alafu ndo mimi nilipwe.
Tayri niko steji ambayo taasisi akinihitaji tunakaa mezeni wanaweka mzigo mezani tunakubaliana.
Kwa kukusaidia hebu jaribu kufanya research yako mwenyewe ili kupata mshahara wa security manager ambaye ni satisfied, anzia kwenye makampuni ya simu, mabenki, viwanda, migodi, mahospital kama Agakhan nk. Ukipata jibu utajiona wewe umechelewa kufaham mambo. Yaani nitoe pounds 750 kusoma certification ya security, nije Nebosh na OSHA alafu Red Cross kwa ajili ya huduma ya kwanza alafu nikaajiriwe tena na kampuni ya ulinzi?
Mwisho makampuni yote yanalipa mishahara kutoka na sheria ya kazi ya nchi yako ambayo inataka kampuni za wazawa kulipa 180K plus OT na International Co 300K plus OT, hivo siyo issue ya kampuni bali nchi yako.
Mimi nilitoa ushauri anawajibu wa kufuata au kubaki na mawazo mgando kama ya kwako.
 
Sawa motivation speaker wapambanie walinzi wenzako
 
Kawaida mnajifanya kudharau kazi wakati mnaishia kuangalia TV sebuleni kwa shemeji zenu. Ulinzi ni kazi kama kazi nyingine ndo maana unaona zinatangazwa kazi wanatakiwa watu wenye degree. Unamdharau vipi mtu ambaye ana take home ya milioni 5 mpaka 10 kisa tu mlinzi, ukapimwe mkojo wewe.
 
Mtu mwenye take home ya Ml 5 hadi 10 hawezi ku argue kijinga kama wewe .wala kuwa na mihemko ya kitoto na kuandika mashairi marefu ambayo ni unnecessary na meaningless, we ni mvuta fegi mmoja tu nyuma ya keyboard

Kanywe uji totoh bando liki isha useme .
 
Brother Kila kazi Ina pesa Sema opportunity ya kupata nafasi sehemu wanayolipa vizuri ndo issue ndo maana hata wewe unatoa Tambo tupu na kuishia kumotivate dogo bila msaada wowote
 
Mtu mwenye take home ya Ml 5 hadi 10 hawezi ku argue kijinga kama wewe .wala kuwa na mihemko ya kitoto na kuandika mashairi marefu amabayo ni unnecessary na meaningless, we ni mvuta fegi mmoja tu nyuma ya keyboard

Kanywe uji totoh bando liki isha useme .
Well mi na nina argue kijinga mbona bado kila ukiokota bundle unakuja kwenye uzi? mi nadhani mjinga utakuwa ni wewe ungekuwa mwelevu nimekupa task dogo sana nenda fanya utafiti wako, ukipata jibu rudi hapa. Unataka hautaki mimi niko kwenye hiyo level ya mshahara bata wahed, Aliyeomba ushauri kuna kitu amepata ile wewe mjuaji mpumbavu ndo bado unaangaika mara motivation speaker mara umeenda ATM kutoa hela mlinzi kakuomba hela.
Mtu mwenye kipato kikubwa hawezi kuendesha maisha kwa hela ya kutoa ATM mashine.
Ni kawaida maskini kama wewe kuendelea kuwa maskini kwa kujifanya kuwa matajiri ili hali matajiri wakiendelea kuwa matajiri kwa kujifanya maskini. Isitoshe huenda hata huo mshahara wa laki 3 hauna.
 
Brother Kila kazi Ina pesa Sema opportunity ya kupata nafasi sehemu wanayolipa vizuri ndo issue ndo maana hata wewe unatoa Tambo tupu na kuishia kumotivate dogo bila msaada wowote
Sina cha kumsaidia na siamini katika connection, naamini katika uwezo wa kupambana kwa sababu hakuna mtu atakayekusaidia kufanya kazi. Kwa nini tuishi kwa kuamini connection? mimi sihitaji kumotivate mtu ila naongea uhalisia niko kwenye Cooperate firm kwa zaidi ya miaka ishirini nina ijua nje ndani.
Hata ajira za kawaida ikiwa umetafutiwa kazi lazima tu mwisho wa siku uchemke, toka tembea tafuta kazi lazima utajikuta mahali, lakini endapo utaishia kukaa kwenye sofa na smart phone mkononi ukihitaji huruma ya connection nakupa pole.
BAHATI mbaya wewe unaamini msaada ni kuitwa kwamba njoo fanya kazi hapa, msaada ni pamoja na mawazo, utaratibu nk
 
Mtu mwenye take home ya Ml 5 hadi 10 hawezi ku argue kijinga kama wewe .wala kuwa na mihemko ya kitoto na kuandika mashairi marefu ambayo ni unnecessary na meaningless, we ni mvuta fegi mmoja tu nyuma ya keyboard

Kanywe uji totoh bando liki isha useme .
hebu anagalia kwanza niko JF tangu lini? alafu angalia katika siku zote hizo kuna siku niko offline? Angalia vizuri jina alafu jaribu kuangalia users online kila unapokopa bando. Bahati mbaya pia nimechelewa kuona Avatar yako kumbe ni bangi ndo zinaongea.
 
Well mi na nina argue kijinga mbona bado kila ukiokota bundle unakuja kwenye uzi? mi nadhani mjinga utakuwa ni wewe ungekuwa mwelevu nimekupa task dogo sana nenda fanya utafiti wako, ukipata jibu rudi hapa. Unataka hautaki mimi niko kwenye hiyo level ya mshahara bata wahed, Aliyeomba ushauri kuna kitu amepata ile wewe mjuaji mpumbavu ndo bado unaangaika mara motivation speaker mara umeenda ATM kutoa hela mlinzi kakuomba hela.
Mtu mwenye kipato kikubwa hawezi kuendesha maisha kwa hela ya kutoa ATM mashine.
Ni kawaida maskini kama wewe kuendelea kuwa maskini kwa kujifanya kuwa matajiri ili hali matajiri wakiendelea kuwa matajiri kwa kujifanya maskini. Isitoshe huenda hata huo mshahara wa laki 3 hauna.
Kumbe na angaika na mtu anae lipwa cash mkononi .nonsense ukweli ni uo walinzi wana maisha magumu mshahara mdogo una motivate mlinzi kwenye level ambayo hatowahi kufika wala we dalali uja fika ume elewa..

Na log out
 
Hatuwezi kuwa wote machinga narudia tena mtu mwenye uwezo na msuli wa kifedha hawezi toa hela ATM, ukiona mtu anatoa hela ATM huyo bado hana uwezo wa kumdharau mlinzi au mfanyakazi wa ngazi yoyote
 
Asante sana Rafiki yangu...Mimi nakutakia mafanikio...ila Cha kukushauri kama hiyo JKT Yako sio ya mujibu...Ni wale wa kujitolea hakikisha unasoma fani ndogo ndogo...kama udereva...uchomeleaji au upakaji rangi...

Fani hizo zitakuongezea sifa ya kuajiliwa kwenye majeshi yetu.

Ukifanya vizuri kwenye hiyo kazi connection zipo nje nje...

Mimi ni mlinzi nilie amua kustaafu ila amini nakwambia kupitia ulinzi Leo hii spika wa bunge ananifahamu japo hajanisaidia chochote

Nilishawahi kukutana uso kwa uso na aliekuwa IGP Simon Nyanghoro Sirro na Tip alinipa.

Niliwahi kukutana na waziri Wilium Rukuvi akiwa yeye na Familia yake huyu alinifanya niongeze Kasi ya kupambana maana eneo nililokuwepo alikuwa ananunua vitu vya bei mbaya bila kuomba discounts

Wasanii mbali mbali niliwahi kukutana nao na wengine Nina wasiliana nao hadi Leo.

Ila chanzo Cha kufahamiana na wote hao ni kazi ya ulinzi. Broh usikate tamaa itumie hiyo fursa kama daraja tu la kukuvusha...

Mwenyezi Mungu akupe hitaji la moyo wako, akupe matumaini na akuondolee machungu, ulionalo gumu liwe jepesi
Mkuu nimepita pm kwako ukiwa na time nicheki kuna inshu nataka tuongee
 
Habari, rejea kichwa cha habari.

Jinsia: Me
Umri: 28 yrs old
Mafunzo: JKT
Uzoefu wa kulinda: 3yrs
Vituo nivyolinda: Julius Nyerere hydropower project (JNHPP),some of TRA offices &some of petrol stations

Elimu: Kidato cha 6, chuo but #dropuot, pia ninacho cheti cha clearing &forwarding kutoka chuo cha usimamizi wa kodi (ITA),kama naweza pata intern niko tyr
lugha: Fresh (kawaida), English & kiswahili
Makazi: Kimara, Dsm

Niko tayari kupangiwa kazi sehemu yoyote .

Asanteni sana.
MUNGU AKUPE HAJAYA MOYO WAKOO NDUGU
 
Back
Top Bottom