ngara23
JF-Expert Member
- Aug 31, 2019
- 2,609
- 5,737
Kuna mdada nyumba jirani huwa anafua nguo za ndani nyingi na kuzianika kujaza kamba ikiwa ni njiani tunapopita. Hii tabia sipendezwi nayo, inatutia tu akshi asubuhii.
Kwani hizo chupi huwa anazichafua mara moja au akioga hafui akabadilisha ndio azirundike afue machupi zaidi ya 40 siku moja
Nyie wanawake wa mjini mnatutia vishawishi jamani. Kwanini akifua japo asianike faragha kama bafuni?
Ni hatari wadada wa Tabata. Nitahama Tabata mimi.