Nakaribia 29 sina mtoto

co fm

JF-Expert Member
Jul 20, 2016
1,431
2,195
Habari za humu wadau, mimi ni kijana wa umri wa miaka 27 now,but mwakani mwez 12 mwakani ninatimiza miaka 29. Kipindi nilipokuwa nina miaka 21-25 nilikuwa namshangaa ndugu yangu mmoja kwamba anafikaje 29 bila mtoto?? Sasa yamenikuta 29 naiona hiyo sina mtoto.Jamani msitukane mamba kabla hamjavuka mto
 
Pole sana mkuu. Umri bado unaruhusu tafuta mtoto utapata
 
Back
Top Bottom