Nahitaji mtu mzima nitulie nae

Habarini wapendwa,kama kichwa kinavojieleza nahitaji mtu mzma wa kutulia nae nimechoka hekaheka za vijana na uwongo wao.
Mtu mzma ninaemuhitaji awe na umri kuanzia miaka 45 mpaka 60,dini yoyote,kabila lolote pia awe anajiweza kiuchumi.
Mimi ni single mama wa mtoto mmoja niko na 25 years dini ni mkristo pia ni mjasiriamali.
Note:Awe tayari kucheck afya pia nahitaji wa kutulia nae sio hit and run
Serious inbox me

At 25 wewe Ni single Mother Na umeshachoka hekaheka? Hizo heka heka ulianza Lini? Hemu achana Na watu wazima kwanza; rekebisha matatizo yako kwanza maana hata hao Vijana hawana shida; wewe ndo una shida.
 
No sio Mimi,me sinaga shida kama zipo ni ndogondogo sana ambapo hakuna binadamu mkamilifu vijana hapana mkuu
Bora niangalie upande mwingne
 
At 25 wewe Ni single Mother Na umeshachoka hekaheka? Hizo heka heka ulianza Lini? Hemu achana Na watu wazima kwanza; rekebisha matatizo yako kwanza maana hata hao Vijana hawana shida; wewe ndo una shida.
Au mtoto hana anatupanga sisi vijana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom