Angyelile99
Member
- Oct 9, 2023
- 26
- 24
Hivi ni lini zoezi la uandikishaji wa daftari la kudumu la mpiga kura unaanza. Nahitaji kupata kitambulisho cha mpiga kura kabla sijaondoka nchini
Huna mpango wa kuondoka nchini wewe kama unasubiri kitambulisho cha mpiga kura ndiyo uondokeHivi ni lini zoezi la uandikishaji wa daftari la kudumu la mpiga kula unaanza. Nahitaji kupata kitamburisho cha mpiga kura kabra sijaondoka nchini
Mpiga kula, kitamburisho kabra maamaeeHivi ni lini zoezi la uandikishaji wa daftari la kudumu la mpiga kula unaanza. Nahitaji kupata kitamburisho cha mpiga kura kabra sijaondoka nchini
Miye nirihona bola nituriye turi kama mawese!😂😂😂😂😂Mpiga kula, kitamburisho kabra maamaee
Anaitwa Angyelile na yupo Tuduma.Anataka aondoke nchini avuke mpaka kwa miguu aende upande wa Zambia.We sema unasubiri majibu kama umepata chance
,,miye,,murembo unarafuzi nzuri sana.😁😁haa njoo unipe huo mtundu wako niutafune yagheeMiye nirihona bola nituriye turi kama mawese!😂😂😂😂😂
Jatali sana,,miye,,murembo unarafuzi nzuri sana.😁😁haa njoo unipe huo mtundu wako niutafune yaghee
Moderator mkanyeni huyu shoga.Ananisumbua hadi pm.Ananishawishi nimuingilie kinyume na maumbile.Tafadhalini mumkanye.Hana maadili kabisa.,,miye,,murembo unarafuzi nzuri sana.😁😁haa njoo unipe huo mtundu wako niutafune yaghee
Aache mazoea mabovu kwa wazee wake.Hana maadili mema.Hajafundwa na wazee wake.Sema mkuu una uzushi mwingi, mpaka ametiwa ban
Anatudanganya kama watoto sisiWe sema unasubiri majibu kama umepata chance
zoezi litatangazwa kuanza katika muda usiokua mrefu hususani baada ya vikao vya bunge la bajeti kumalizikaHivi ni lini zoezi la uandikishaji wa daftari la kudumu la mpiga kura unaanza. Nahitaji kupata kitambulisho cha mpiga kura kabla sijaondoka nchini
Ngoja waanze kutoa vitambulisho aende ulayaA
Anatudanganya kama watoto sisi