BEZO JF-Expert Member Jul 15, 2023 1,045 2,502 May 4, 2024 #1 Dada wa kazi anahitajika, eneo la kazi ni Dodoma. Majukumu ni kukaa na mtoto mmoja na kazi ndogo ndogo za nyumbani. Posho yake ni 70,000/= kwa mwezi. Awe anajitambua. Tuwasiliane inbox 📥
Dada wa kazi anahitajika, eneo la kazi ni Dodoma. Majukumu ni kukaa na mtoto mmoja na kazi ndogo ndogo za nyumbani. Posho yake ni 70,000/= kwa mwezi. Awe anajitambua. Tuwasiliane inbox 📥
BEZO JF-Expert Member Jul 15, 2023 1,045 2,502 May 4, 2024 Thread starter #3 Half american said: Kila la heri mkuu Click to expand... Ahsante mkuu.
BEZO JF-Expert Member Jul 15, 2023 1,045 2,502 May 4, 2024 Thread starter #5 Red black said: 70k kwa siku au mwezi? Click to expand... Mwezi mkuu
Mtukutu wa Nyaigela JF-Expert Member Sep 4, 2018 6,873 11,751 May 4, 2024 #8 lazima awe mdada. sisi wababa tunajitambua vipi kwani nitahakikisha mtoto analala mchana
BEZO JF-Expert Member Jul 15, 2023 1,045 2,502 May 4, 2024 Thread starter #9 MombaDier said: Nafikaje Sasa huko inbox Click to expand... Ni kweli hujui kutuma sms?
Shadeeya JF-Expert Member Mar 12, 2014 48,595 115,997 May 4, 2024 #10 Daah! Kila la kheri Mkuu katika kumpata huyo mdada mana maisha bila msaidizi hizo huwa ni nyakati ngumu sana.
Daah! Kila la kheri Mkuu katika kumpata huyo mdada mana maisha bila msaidizi hizo huwa ni nyakati ngumu sana.
C Capt Tamar JF-Expert Member Dec 15, 2011 11,860 14,981 May 4, 2024 #11 Yupo mwanza,nilikuwa namhitaji mimi ila nimeshapata mwingine, ukimhitaji nicheki
BEZO JF-Expert Member Jul 15, 2023 1,045 2,502 May 4, 2024 Thread starter #12 Shadeeya said: Daah! Kila la kheri Mkuu katika kumpata huyo mdada mana maisha bila msaidizi hizo huwa ni nyakati ngumu sana. Click to expand... Ahsante sana dada Shadeeya Mwanayanga kindaki ndaki 😂
Shadeeya said: Daah! Kila la kheri Mkuu katika kumpata huyo mdada mana maisha bila msaidizi hizo huwa ni nyakati ngumu sana. Click to expand... Ahsante sana dada Shadeeya Mwanayanga kindaki ndaki 😂
BEZO JF-Expert Member Jul 15, 2023 1,045 2,502 May 4, 2024 Thread starter #13 Capt Tamar said: Yupo mwanza,nilikuwa namhitaji mimi ila nimeshapata mwingine, ukimhitaji nicheki Click to expand... Ahsante mkuu,ntakucheki. Vip upo mwanza pia?
Capt Tamar said: Yupo mwanza,nilikuwa namhitaji mimi ila nimeshapata mwingine, ukimhitaji nicheki Click to expand... Ahsante mkuu,ntakucheki. Vip upo mwanza pia?
Shadeeya JF-Expert Member Mar 12, 2014 48,595 115,997 May 4, 2024 #14 BEZO said: Ahsante sana dada Shadeeya Mwanayanga kindaki ndaki 😂 Click to expand... 🤝
fundi bishoo JF-Expert Member Jun 26, 2018 13,333 23,375 May 4, 2024 #15 ukihitaji kaka wa kazi nipo hapa 👴
ngara23 JF-Expert Member Aug 31, 2019 2,799 6,226 May 4, 2024 #16 Ongeza hela Unalipa pesa ndogo Jitahidi mueathamini wanaowalelea watoto
EvilSpirit JF-Expert Member Jun 15, 2017 8,907 13,297 May 4, 2024 #17 Mkuu tangazo lako likigonga tu anga la iringa hesabu ushapata mnyalukolo wa kazi
Ushimen JF-Expert Member Oct 24, 2012 37,683 86,958 May 4, 2024 #18 ngara23 said: Ongeza hela Unalipa pesa ndogo Jitahidi mueathamini wanaowalelea watoto Click to expand... Ulikua kwenye mawazo yangu mkuu, mimi ninao wadada wawili, mmoja kwaajili ya mtoto na mwingine kwaajili ya kazi za mdani na kila mmoja namlipa 100k
ngara23 said: Ongeza hela Unalipa pesa ndogo Jitahidi mueathamini wanaowalelea watoto Click to expand... Ulikua kwenye mawazo yangu mkuu, mimi ninao wadada wawili, mmoja kwaajili ya mtoto na mwingine kwaajili ya kazi za mdani na kila mmoja namlipa 100k
BEZO JF-Expert Member Jul 15, 2023 1,045 2,502 May 4, 2024 Thread starter #19 EvilSpirit said: Mkuu tangazo lako likigonga tu anga la iringa hesabu ushapata mnyalukolo wa kazi Click to expand... Ahsante mkuu.
EvilSpirit said: Mkuu tangazo lako likigonga tu anga la iringa hesabu ushapata mnyalukolo wa kazi Click to expand... Ahsante mkuu.
Fake P JF-Expert Member Jan 3, 2017 1,832 5,075 May 4, 2024 #20 Ongeza kidogo Babaa jukumu la kulea mtoto kama wake na kazi zingine motisha iwepo babaaa