Hizi ndio zile ajira za kuwavalisha watu tai na jua la saa saba mchana msimu wa joto wanazunguka na bidhaa mtaani halafu ndio mnawaita maafisa mauzo?Location ni kinondoni Morocco kwenye majengo ya Morocco Square, mengineyo yanajieleza hapo kwenye bango.... Kama huelewi unaibuka tu utajieleza hukohuko sio mpaka uitwe
Hapana sio hizo mkuu, hao ni watu wa kuuza maduka ya nguo kampuni za LC Waikiki, defacto, na nyinginezo ambazo zinasimamiwa na wewe hao hope tanzaniaHizi ndio zile ajira za kuwavalisha watu tai na jua la saa saba mchana msimu wa joto wanazunguka na bidhaa mtaani halafu ndio mnawaita maafisa mauzo?
Wandugu tuwe na huruma.