OMOYOGWANE
JF-Expert Member
- Dec 30, 2016
- 3,749
- 9,496
Wakuu habari!
Leo nikiwa barabarani niliona magari mawili yaliyotaka kugongana uso kwa uso ghafla likanijia wazo ambalo limenisukuma kuandika uzi huu namna ya kuzuia ajali kama hizi.
Picha nmetoa mtandaoni
Kikawaida ncha mbili za sumaku zikikutana hukwepana, mfano angalia hapa chini kwenye picha
Sasa ikiwa magari yote yatatengenezwa kwa sumaku kwa mbele ktk mtindo wa ncha mbili zinazofanana yakikutana uso kwa uso yatakwepana (yatasukumana bila kugongana) yaani kama ule mchezo wa kusukumana lakini hapa itakua bila kugusana,
Chukulia mfano semi trailer inakutana uso kwa uso na V8, ili zisigongane zikwepane itahitajika sumaku kubwa sana iwekwe mbele ya gari mfano sumaku yenye ukubwa wa shina la mbuyu kwa kila gari yaani semi na V8, kitu ambacho kitaathiri uzito wa kila gari na balance haitakuwdpo,
Kwa vile chuma laini kikizungushiwa nyaya kwa mtindo wa coil kisha kuunganishwa na umeme huwa kinakua sumaku hii njia itafaa zaidi kutengeneza sumaku yenye nguvu kubwa
Zingatia pia ujio wa magari ya umeme.
Chini ntatoa ufafanuzi wa kimahesabu , Nakaribisha maoni kinzani.