Naanza kupata hofu na stress sana, nina miaka 32 na familia haitaki nioe mwanamke mwenye mtoto

Quan Lup

JF-Expert Member
Sep 26, 2016
645
772
Mwaka huu nafikisha miaka 32 sina mke aisee.

Wapenzi nilishakuwaga nao huko nyuma tulishaachanaga kwa changamoto za mahusiano kila nikitaka kuoa nakutana na mwanamke ana mtoto yaani familia yangu imeshanionya kuoa mwanamke mwenye mtoto.

Yaani hapa sielewi, kazi ninayo kipato cha kati ninacho..
 
Huko kwenu hakuna wazazi walikutana kabla ya kuwa na watoto?

Kuna wengine walizaliwa nje ya ndoa ila hawataki kuoa mwanamke aliyezaa.

Wengine wanataka kuoa walio toa mimba 20+( wauaji) lakini hawataki waliozaa watoto wawili(waaminifu).

Unafiki mbaya sana huu!
 
Moja ya content isio vutia ni hii.
Yani hao singo maza mmewachafua sana kitaa harafu saivi unakuja na slogan yakwamba wazazi wamekuonya usiangukie pua kuoa singo maza wakati nyinyi wenyewe ndio chanzo kikubwa cha yote hayo.
NAKUULIZA UNATAKA HAO WAOLEWE NAWAKINA NANI SASA? 😎😎😎😎😎😎😎😎
 
Mwaka huu nafikisha miaka 32 sina mke aisee...

wapenzi nilishakuwaga nao huko nyuma tulishaachanaga.. kwa changamoto za mahusiano kila nikitaka kuoa nakutana na mwanamke ana mtoto yaani.. familia yangu imeshanionya kuoa mwanamke mwenye mtoto..

yaani hapa sielewi kazi ninayo kipato cha kati ninacho..
Kijana ni maamuzi yako by the way mimi mke wangu nimemuoa akiwa na watoto 2 wote wakubwa tu.
 
Moja ya content isio vutia ni hii.
Yani hao singo maza mmewachafua sana kitaa harafu saivi unakuja na slogan yakwamba wazazi wamekuonya usiangukie pua kuoa singo maza wakati nyinyi wenyewe ndio chanzo kikubwa cha yote hayo.
NAKUULIZA UNATAKA HAO WAOLEWE NAWAKINA NANI SASA?
😎😎😎😎😎😎😎😎
Hapa umepuyanga masta.

Ilikuwa hekima ungemuuliza kwanza mwenye mada yake amewazalisha wangapi ndiyo umshauri yeye akawaoe.nadhani ilikuwa vizuri zaidi ungewashauri hao waliozalishwa kwenda kuolewa na waliowazalisha kuliko kutaka kuolewa na wengine na kwenda kuwavurugia maisha yao.
 
Mwaka huu nafikisha miaka 32 sina mke aisee...

wapenzi nilishakuwaga nao huko nyuma tulishaachanaga.. kwa changamoto za mahusiano kila nikitaka kuoa nakutana na mwanamke ana mtoto yaani.. familia yangu imeshanionya kuoa mwanamke mwenye mtoto..

yaani hapa sielewi kazi ninayo kipato cha kati ninacho..
Uanchagua sana!hasa kama we ni perfectionist ndio utapata tabu sana!!

Hai watoto was 2000 utawaweza !!?toto za tick-tock na fb!!?kichwani wengi zero brain!!?

Tafuta wife material ambae Haina mambo mengi chunguza Kwa majirani au huko shamba wapo watoto natural wanajua kulima na kuchuma mboga tu hasta self hawajui kupiga!

Nenda kaoe huko!!
 
Huko kwenu wazazi walikutana kabla ya kuwa na watoto?

Kuna wengine walizaliwa nje ya ndoa ila hawataki kuoa mwanamke aliyezaa.

Wengine wanataka kuoa walio toa mimba 20+( wauaji) lakini hawataki waliozaa watoto wawili(waaminifu).

Unafiki mbaya sana huu!
wewe hakuna hiko kitu alaf nkuoe bwanako nae uwe unakutana nae mm s ntakua sio mzma kuoa mtu aliezalshwa ni zambi
 
Moja ya content isio vutia ni hii.
Yani hao singo maza mmewachafua sana kitaa harafu saivi unakuja na slogan yakwamba wazazi wamekuonya usiangukie pua kuoa singo maza wakati nyinyi wenyewe ndio chanzo kikubwa cha yote hayo.
NAKUULIZA UNATAKA HAO WAOLEWE NAWAKINA NANI SASA? 😎😎😎😎😎😎😎😎
Singo maza anazalishwa tu watoto halafu anatumiwa hela za matumizi. Si maisha aliyachagua , aliyemwambia apanue paja before ndoa ni Nani huyo ndiye akamuoe sasa. Alipata ule utamu saivi anapata matunda ya mbegu za utamu anataka kujiliza Nini ili aonewe huruma.
Wanawake wengine wako smart mno wengine wanalewa utamu kupitilza
 
Mwaka huu nafikisha miaka 32 sina mke aisee...

wapenzi nilishakuwaga nao huko nyuma tulishaachanaga.. kwa changamoto za mahusiano kila nikitaka kuoa nakutana na mwanamke ana mtoto yaani.. familia yangu imeshanionya kuoa mwanamke mwenye mtoto..

yaani hapa sielewi kazi ninayo kipato cha kati ninacho..
Kipato cha kati ndo shilling ngapi kwa mwezi au wastani kwa siku
 
Back
Top Bottom