mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 81,719
- 107,832
Wenzetu wako fasta no kurembaTayari ameshazikwa waislamu hawna muda wa kupoteza
Ova
Wenzetu wako fasta no kurembaTayari ameshazikwa waislamu hawna muda wa kupoteza
Huyo father alikua young au ni shida za dunia ndio zilimfanya aonekane mzee?R.i.P Classmate aka mr pipe, gon too young...😥
Eti kichekesho chenyewe ni kile cha kusema kata simu tuko site..sasa sijui watu walikua wanacheka nini hapo?Sasa alikuwa anachekesha nini?
Sasa hapo ulikua unacheka kitu gani?Za kichwa
Za kichwa
Sasa kama hana ajibu nini?Wanakuambia aliomba mchango kwa wasanii wengi
Walimpotezea 😄
Harmonise ndy hakujibu hata sms 😄
Ova
Ni ugumu wa maisha na maradhi tuHuyo father alikua young au ni shida za dunia ndio zilimfanya aonekane mzee?
Enzi hizo huyu jamaa alikuwa na migahawa ya Kushiba was such a good bussines idea sijui nini kiliua ile biasharaMameni kushiba.
RIP.
Huyu aliongoza phrase YA. ( Kata simu tupo site,Mjegejo)
Kuna moja alikuwaga nayo pale msataEnzi hizo huyu jamaa alikuwa na migahawa ya Kushiba was such a good bussines idea sijui nini kiliua ile biashara
Umenikumbusha mbali sana utotoniUshawahi kuzicheki movie za Rambo? Sasa ile mikwasa aliyokuwa anaitumia kuwateketeza wa Vietnam, ndo huo