princess ariana
JF-Expert Member
- Aug 19, 2016
- 7,653
- 14,603
Ujue nimewaza kwamba au kwkaua mimi sina hela afu sijazaa au nmetokea familia ambayo haijaelika???
Yani hili swala zima la simu naona ni upumbavu mkubwa! Mtoto unampa simu ya nini? Na ya kwako anaichezea kivipi? Amekosa vya kuchezea??? Hivi ni malezi ama ulimbukeni? Mana sisi tumekulia mazingira bila simu na ilikua poa tu si saizi tunazo... Hivi wazazi wa sikuhizi wana wazimu gani

Usasa mwingi.
Kwanza kabisa unamnunulia mtoto simu ya nini??
Sometimes umuhimu hakuna kabisa ila basi tu kwakua baba na mama hawataki mtoto ashike simu zao basi nae hununuliwa.
Ajabu ni kua anaitumia atakavyo na mzazi hagusi simu ya mtoto.