My Name is John Sule

John Sule

Member
Feb 24, 2014
52
40
My Name is John Sule.
A Bachelor of Science in Cyber-Security Student at The Institute of Finance Management(IFM) ....A Web developer with passion for creating beautiful and functional websites. Skilled in HTML, CSS, JavaScript, and various web development frameworks...
 
Tumpe support! Be humble
Mimi haya maneno makali ya taaluma ya IT yananitiaga ukakasi! Wewe una maarifa ya "Cyber Security" huko hapa mtaani unatafuta nini? Hack mtandao mmoja uvuruge watambue uwepo wako uone kama utalia njaa! Niliwahi kuajiriwa na taasisi moja ya umma kwenye taaluma hii. Sasa mizengwe ya pale na mambo ya kujipendekeza, kwenye warsha za ndani zenye malipo wakawa hawaniweki! Unajua nilifanya nini? Nikasubiri siku wako katikati ya hiyo warsha nikadisconnect Internet! Waliangaika weee wapi na kulazimisha "break". Mkuu wa hiyo taasisi akaanza kuwafokea staff wa IT (hapo mimi sipo). "unajua tumegharamika kiasi ghani kwa hii warsha??, nataka ndani ya hii break Internet irudi" Jamaa akili zikawajia! Bila huyo jamaa hatutoboi! Wakanitafuta kwa simu na mimi nikarestore net! Kuanzia hapo heshima ikawepo! Sasa hawa vijana wetu wanaokalilishwa na kuja hapa na majigambo ya nini? Fanya kitu! Founder wa iPhone (Steve job) ni college drop out! Billgate (Microsoft) college drop out! Zuckerberg college drop out!
 
Received with Thanks! 🤝
 
Saafi sana Kamanda
 
Iga college dropout ufe..!!
 
Back
Top Bottom