Mwigulu ni kati ya Mawaziri wa Fedha wabovu kuwahi kutokea Tanzania

FaizaFoxy

Platinum Member
Apr 13, 2011
93,089
109,471
Kwa mtazamo wangu, Mwigulu hafai kabisa kuwa waziri wa wizara yoyote licha ya kuwa waziri wa fedha.

Sijamuona kuwa na ubunifu wowote kwenye kazi zake.

Huwa nashangaa ni vipi mtu kama Mwigulu, ambae hana kabisa hata "art" ya kuongea anaweza kuteuliwa kuwa waziri.

Hata jinsi alivyowakilisha bajeti yake haikuwa na mvuto na wala hakuonesha ubunifu wowote.

Mama Samia tuondolee hilo bomu wizara hiyo.

Mbona kuna wengi sana bungeni ambao wana muono wa hali ya juu bungeni?

Kwa ufupi, Mwigulu hafai kabisa.
 
Hata jinsi alivyowakilisha bajeti yaje hakuwa ns mvuto na wala hakuonesha ubunifu wowote.

Mama Samia tuondolee hilo bomu wizara hiyo.

Mbona kuna wengi sana bungeni ambao wana muono wa hali ya juu bungeni?

Kwa ufupi, Mwigulu hafai kabisa.
Mwenzako anaota kuwa Rais wa kwanza Mlutheri, aahhaaaa
 
Kwa mtazamo wangu, Mwigulu hafai kabisa kuwa waziri wa wizara yoyote licha ya kuwa waziri wa fedha.

Sijamuona kuwa na ubunifu wowote kwenye kazi zake.

Huwa nashangaa ni vipi mtu kama Mwigulu, ambae hana kabisa hata "art" ya kuongea anaweza kuteuliwa kuwa waziri.

Hata jinsi alivyowakilisha bajeti yake haikuwa na mvuto na wala hakuonesha ubunifu wowote.

Mama Samia tuondolee hilo bomu wizara hiyo.

Mbona kuna wengi sana bungeni ambao wana muono wa hali ya juu bungeni?

Kwa ufupi, Mwigulu hafai kabisa.
Kwanini humpendi Mwigulu Bi Mkubwa? Naona hisia zaidi unatoa
 
Ilipaswa alaumiwe aliemteua.

Maana anao uwezo kumtoa muda wowote akitaka

Anashindwa Nini!?

Anyway hii pia isije kuwa Moja ya zile chuki zako Cha kidini.

Maana hunaga jema na akina John na Alex we hata juma na Mohamed wakiongea kunya huwa unaona dhahabu tu as long as ni mwenzako katika imani.

Hii inafanya hata watu wawe na shaka na maoni au judgement Yako maana washakuwekea kipimo.
 
Back
Top Bottom