Kwahiyo VAT ya meter za UMEME ni pesa za Wizara ya Nishati?tozo zinatozwa kupitia nini?
Ficha ujinga.Sasa si ndo madeni yote duniani hulipwa kwa style hiyo, au mlitakaje yaani?
Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
Kwani hiyo pesa ya mkopo haijatumika kutoa huduma kwa mwananchi? Kilichofanyika mwananchi amepata huduma mapema, pesa inalipwa baadae.Ni kweli kwamba mwananchi hatadaiwa yeye binafsi.
Hata hivyo, serikali ya wananchi italazimika kulipa na hivyo kutumia pesa ambazo ingezitumia kwa ajili ya huduma kwa wananchi. Hii Ina maana kwamba wananchi watalipa kwa kukosa huduma ambayo serikali haitawaeza kuitoa wa sababu ya kulipa madeni.
Kodi ni malipo ya lazima iwe serikali imekopa au haijakopa. Ndiyo sababu anasema serikali italipa. Kutoka kwenye fungu lake bila mwananchi kuguswa moja kwa moja. Kuna impact and incidence of loan repayment.Anamaanisha hakuna pesa ya ziada itakayowekwa kwa mwananchi kwa ajili ya kulipa mkopo zaidi ya makusanyo ya tozo na kodi zilizopo, misaada na michango. Kwa ufupi mapato ya serikali.
Hivi ukidaiwa deni ukalipa. Matumizi ya lile deni yanakuhusu tena? Maana kodi ni malipo ya lazima kutoka kwa mwananchi kwenda serikalini kuwa na deni au kusiwe na deni. Ndiyo maana amesema serikali italipa. Kisha inasahaulika kuwa pesa ya hilo deni imefanya shughuli za maendeleo. Kikubwa ni chuki na waziri.unafikiri Kwa kutumia ubongo au matako wewe jamaa,una ujinga mkubwa sana
Narudia wewe ni hopeless na nafikiri wewe ndie huyo taahira mwenye PhD Madelu
Serikali italipa Kwa Pesa ilizochimba ardhini au?
Inaonesha jinsi Gani ulivyo juha hapa jamvini
Napendekeza mkeo awatafutie watoto baba mwenye akili timamu kuliko kua na mume mbumbumbu kama wewe
Shame!
Hiiiiii bha ghoshaaa!Hivi ukidaiwa deni ukalipa. Matumizi ya lile deni yanakuhusu tena? Maana kodi ni malipo ya lazima kutoka kwa mwananchi kwenda serikalini kuwa na deni au kusiwe na deni. Ndiyo maana amesema serikali italipa. Kisha inasahaulika kuwa pesa ya hilo deni imefanya shughuli za maendeleo. Kikubwa ni chuki na waziri.
Hii nchi sijui tuna laana gani! Mtu mjinga kiasi hiki naye eti ni Waziri!"Hakuna siku Mtanzania mmojammoja atagongewa hodi mlangoni kwamba tunakudai Shillingi hizi kwasababu Nchi yako ilikopa, haipo Nchi hiyo, hivi ni vitu vya Kitaasisi na vinaangaliwa kutoka kwenye mapato ya Kiserikali"
"Hakuna siku Mtanzania atafuatwa aambiwe wewe una ng'ombe wengi sana toa mmoja tulipie deni la Taifa haipo siku hiyo, inalipiwa kwenye mapato ya Serikali"——— Waziri wa Fedha na Mipango, Dr. Mwigulu Nchemba mbele ya Rais Samia Ikulu,Dar es alaam leo.
My Take
Nchi yangu ina bahati mbaya kuwa na mawaziri "cheap" kiasi hiki. Hivi hizi kodi tunazolipa si ni zaidi ya hodi?
Tanzania tunaombwe kubwa la Viongozi wasio jitambua na wanatakiwa wafanye nini kwa Nchi. Hivi kwa akili ndogo kabisa.....unaposema Serikali italipa...hiyo Serikali inatoa wapi fedha? Serikali inafanya Biashara gani ipate hayo ma trilioni ya kulipa?"Hakuna siku Mtanzania mmojammoja atagongewa hodi mlangoni kwamba tunakudai Shillingi hizi kwasababu Nchi yako ilikopa, haipo Nchi hiyo, hivi ni vitu vya Kitaasisi na vinaangaliwa kutoka kwenye mapato ya Kiserikali"
"Hakuna siku Mtanzania atafuatwa aambiwe wewe una ng'ombe wengi sana toa mmoja tulipie deni la Taifa haipo siku hiyo, inalipiwa kwenye mapato ya Serikali"——— Waziri wa Fedha na Mipango, Dr. Mwigulu Nchemba mbele ya Rais Samia Ikulu,Dar es alaam leo.
My Take
Nchi yangu ina bahati mbaya kuwa na mawaziri "cheap" kiasi hiki. Hivi hizi kodi tunazolipa si ni zaidi ya hodi?
Mapato ya serikali ni kodi za wananichi."Hakuna siku Mtanzania mmojammoja atagongewa hodi mlangoni kwamba tunakudai Shillingi hizi kwasababu Nchi yako ilikopa, haipo Nchi hiyo, hivi ni vitu vya Kitaasisi na vinaangaliwa kutoka kwenye mapato ya Kiserikali"
"Hakuna siku Mtanzania atafuatwa aambiwe wewe una ng'ombe wengi sana toa mmoja tulipie deni la Taifa haipo siku hiyo, inalipiwa kwenye mapato ya Serikali"——— Waziri wa Fedha na Mipango, Dr. Mwigulu Nchemba mbele ya Rais Samia Ikulu,Dar es alaam leo.
My Take
Nchi yangu ina bahati mbaya kuwa na mawaziri "cheap" kiasi hiki. Hivi hizi kodi tunazolipa si ni zaidi ya hodi?
Tutagongewa through TAX, Serikali ni nini? what is the primary source of income ya serikali yoyote? ni mchumi huyu!"Hakuna siku Mtanzania mmojammoja atagongewa hodi mlangoni kwamba tunakudai Shillingi hizi kwasababu Nchi yako ilikopa, haipo Nchi hiyo, hivi ni vitu vya Kitaasisi na vinaangaliwa kutoka kwenye mapato ya Kiserikali"
"Hakuna siku Mtanzania atafuatwa aambiwe wewe una ng'ombe wengi sana toa mmoja tulipie deni la Taifa haipo siku hiyo, inalipiwa kwenye mapato ya Serikali"——— Waziri wa Fedha na Mipango, Dr. Mwigulu Nchemba mbele ya Rais Samia Ikulu,Dar es alaam leo.
My Take
Nchi yangu ina bahati mbaya kuwa na mawaziri "cheap" kiasi hiki. Hivi hizi kodi tunazolipa si ni zaidi ya hodi?
Ni sawa.Kodi ni malipo ya lazima iwe serikali imekopa au haijakopa. Ndiyo sababu anasema serikali italipa. Kutoka kwenye fungu lake bila mwananchi kuguswa moja kwa moja. Kuna impact and incidence of loan repayment.
Kuna asilimia kubwa ya watanzania ambao hukamatwa kwa lugha hii na wanasiasa wanajua hilo. Mwendazake pia aliwakamata watanzania wengi kwa sababu ya uelewa mdogo. Ni wachache sana wanaoelewa kama wewe. Acha hawa wanasiasa wawaburuze watanzania, kwa sababu wakitokea watu wachache kujaribu kuwaelewesha, wanaaminishwa na wanasiasa wajanja kwamba ni wasaliti na wengine wanapewa kesi za ugaidi na watanzania wanaamini.Hizo pesa za kulipa hiyo mikopo zinatoka wapi kama sio kwenye kodi wanazokatwa wananchi?
Huu ndio mfano wa kundi kubwa la waganga njaa lililopo nyuma ya Samia analoringa nalo.
Ndiyo serikali inalipa kutoka katika mapato yake. Ikiwepo na kodi ambayo wakati wa kuitoa hauambiwi kuwa inaenda kulipa deni. Ingekuwa unaambiwa matumizi ya kodi yako kabla ya kulipa hapo sawa. Angesema wananchi watalipa. Kilichofanyika ni kuharakisha huduma kwa kuchukua mkopo rahisi na kupeleka katika miradi ya maendeleo. Lakini wewe unachukulia kama vile mkopo umetumiwa kununulia Vieitee. Haujaenda kwa wananchi.Hiiiiii bha ghoshaaa!
Naona mke wa waziri umekuja kumtetea bwana Yako Madelu,
Kwa hiyo aliposema Hilo deni haliwahusu wananchi na Serikali italipa alikua na maana Gani?
Tunacho Pinga hapa ni kauli ya bwana waziri kua hizo pesa italipa serikali na hapo ukweli unajulikana ni mzigo wa Kodi kutoka Kwa wananchi ndio utatumika kulipa Hilo deni via Government!
Usitufanye majuha!