Sijaona hoja yoyote uliyotoa. Weka na wewe ushahidi kuonesha kwamba vita ni catalyst ya kupandisha Bei. Unachanganya bei ya mafuta na Bei za bidhaa nyengine kama mbolea, mafuta ya kula, vifaa vya ujenzi ambavyo vilipanda tangu October mwaka jana. Una justify vipi issue yako ya Ukraine?Jibu hoja hapo juu maana naona umekurupuka hata hujamsikiliza Waziri..
Vita imekuwa catalyst kwenye bei zilizoongezeka coz of covid 19, mbona mnakuwa vilaza hivyo?