Resident ni mkaazi, Mwananchi ni Citizen. tafsiri si si siJiulize kwenye Passport kwanini hua wanaandika
URAIA- Mtanzania
kwanini wasiandike
MWANANCHI - Mtanzania?
Hapo utapata jibu,
Kwa uelewa wangu "Mwananchi" ni RESIDENT na "Raia" ni kama mtu mwenye Passport au id kua yeye ni mtanzania "Tanzanian" in his/her Nationality
Wajuzi wataongezea zaidi,nimeelezea kwa uelewa wangu tuu.
Jamani huwa nashndwa kujua au kutofautisha kti ya neno RAIA na MWANANCHI.Hebu nipeni ufafanunuzi.
Kinacho ni changanya ni pale wanapo sema wananchi wenye hasira kali wamewap4a majambaz na kuwa ua.Kwa hyo hao siyo wa tz wa zawa?Jiulize kwenye Passport kwanini hua wanaandika
URAIA- Mtanzania
kwanini wasiandike
MWANANCHI - Mtanzania?
Hapo utapata jibu,
Kwa uelewa wangu "Mwananchi" ni RESIDENT na "Raia" ni kama mtu mwenye Passport au id kua yeye ni mtanzania "Tanzanian" in his/her Nationality
Wajuzi wataongezea zaidi,nimeelezea kwa uelewa wangu tuu.
Ongezapo bac kaufafanuz 2kuelewe!Raia:- raia mwema, mwananchi:- gazeti la kila siku
RAIA ni mhamiaji aliye batizwa..
MWANANCHI ni mzawa asili...... (kama vile wagogo hapa TZ, wahindi wekundu huko US)
Kwahiyo asiyekuwa na passport sio raia?Jiulize kwenye Passport kwanini hua wanaandika
URAIA- Mtanzania
kwanini wasiandike
MWANANCHI - Mtanzania?
Hapo utapata jibu,
Kwa uelewa wangu "Mwananchi" ni RESIDENT na "Raia" ni kama mtu mwenye Passport au id kua yeye ni mtanzania "Tanzanian" in his/her Nationality
Wajuzi wataongezea zaidi,nimeelezea kwa uelewa wangu tuu.
Hapana kwa sababu si lazima kila raia kujipatia pasipoti. Raia wengi hawana pasi kwa sababu hawakuhitaji wala kuomba bado. Lakini kila raia anaweza kuchuka pasipoti.Kwahiyo asiyekuwa na passport sio raia?
Ni lazima kutafsiri? Basi ukipenda labda hivi:Wanajeshi wamefanya fujo URAINI.....
UTAIFA/=Mtanzania
Civilian = RAIA
Military = wanajeshi
Inhabitants = wakazi
Citizens =Wananchi
, kiswahili kimeshiba misamiati
Ongeza na Raia Tanzania.Raia:- raia mwema, mwananchi:- gazeti la kila siku
Ulazima hauna hiyari,tambua hiloHapana kwa sababu si lazima kila raia kujipatia pasipoti. Raia wengi hawana pasi kwa sababu hawakuhitaji wala kuomba bado. Lakini kila raia anaweza kuchuka pasipoti.