Mwanza: Yanayojiri kwenye Maandamano ya Amani yanayoongozwa na Freeman Mbowe

Tuache kejeli na tujikite kwenye hoja, Je, yanayolalamikiwa ni kweli au uzushi? 🤔
Sheria mbovu za uchaguzi maana yake ccm iendelee kuiba kura na kutuwekea wabunge wabovu , ambao hawatabadili chochote.

Shida zote zinaanzia hapa kwenye viongozi wabovu
 
Nyomi nyomi....gete gete
Screenshot_2024-04-27-14-08-18-1.png
 
Taarifa ikufikie popote ulipo , kwamba Maandamano ya Amani yanayoratibiwa na Chadema kwa ajili ya kupinga ugumu wa Maisha na Sheria mbovu za Uchaguzi , yameingia Mkoani Mwanza , leo ni zamu ya Sengerema .

Kama kawaida , Mwamba Kabisa Freeman Mbowe , au Cyborg , mtu chuma asiyechoka kutetea wabongo ataongoza Maandamano hayo

View attachment 2975160

Usiondoke JF
=========
Mambo yameanza kuwa Bambam , Sengerema kimewaka

View attachment 2975251View attachment 2975253View attachment 2975254
Jamaa wameamua
 
Chama changu naomba nilulize, hivi haya maandamano yana tija kweli? Au no kuleta taharuki tu? Mimi nafikri chama changu kingejikita kwenye kufanya mikutano tu ya hadhara bila maandamano!
Tija unaipimaje?.Kwasababu sio lazima iwe direct na muda huo huo.Mabadiliko yoyote ya kweli yanachukua muda matunda kuonekana.,matunda yake yataonekana badae.
 
Dah we nae unatujazia saver na nyuzi zako zisizo na kichwa wala miguu. We kila siku ni maandamano tu. Post hata michongo ya biashara watu wajifunze si unajiita bilionea.
Anzisha zako zenye kichwa na miguu.Mada za chawa kina lucas hauzioni ila zakufungua wananchi unaziona hazifai.huna faida yoyote kwenye jamii.
 
Tuache kejeli na tujikite kwenye hoja, Je, yanayolalamikiwa ni kweli au uzushi? 🤔
Niuzushi tu hakuna hoja kwanjia ya mandamano nazani si sahihi na hawawezi kufanikiwa kwa mfumo wa serekali ulivo watakuja jikuta wamumia nguvu nyingi lkn mwisho hamna kitu watakachofanikiwa ila naona hp kunafadha inateketea kiaina tu siunajua tn siasa ni kazi km kazi nyengine wale wp na wajinga ndio waliwao
 
Nakusanya data ili nije nijumuishe kujua je haya matembezi yameleta mabadiliko yeyote katika hizo kero au uongozi umeamua kutafuna ruzuku kwa mtindo mwengine viongozi ni wale wale wanapangiwa hotel kila mkoa kwanini wasiachie viongozi wa maeneo husika!
Mbowe kashachukua fungu la maandamano kuonyesha wazungu kuna demacrasia anavuta CCM na kwa wazungu akili mtu wangu
 
Taarifa ikufikie popote ulipo , kwamba Maandamano ya Amani yanayoratibiwa na Chadema kwa ajili ya kupinga ugumu wa Maisha na Sheria mbovu za Uchaguzi , yameingia Mkoani Mwanza , leo ni zamu ya Sengerema .

Kama kawaida , Mwamba Kabisa Freeman Mbowe , au Cyborg , mtu chuma asiyechoka kutetea wabongo ataongoza Maandamano hayo

View attachment 2975160

Usiondoke JF
=========
Mambo yameanza kuwa Bambam , Sengerema kimewaka

View attachment 2975251View attachment 2975253View attachment 2975254
Nyumbani kabisa hapo nyamazugo road
 
Back
Top Bottom