Mwanza: Mkurugenzi wa Jiji Kagulumujuli amburuza Mahakamani Mwandishi wa Habari Aloyce Nyanda

Akiwa DED wa Kinondoni alipanga mauaji ya viongozi wa Chadema walioamua kuandamana kupinga mawakala wao kunyimwa viapo vya uwakala kwenye vituo vya kura, kwa Bahati mbaya Mashambulizi ya risasi yakampata mwanafunzi wa NIT Aliyekuwa kwenye Daladala Akwilina
Wewe pia unatakiwa uwe ndani kwa huu uzushi. Mkurugenzi ni mauaji ni wapi na wapi? Punguza kuropoka wewe chawa wa Mbowe.
 
Dili Sana Mtozi anatengenezea watu story Sana tena kwa kipindi hicho alimtengenezea kashfa maza 1 kitengo cha ardhi jiji Mwanza maza akaruka nae Polisi jamaa Akala kona
Sahara media (Startv) hakuna mishahara, itakuwa Mtozi anajiongeza kwa kufanya uhalifu.
 
Erythrocyte , unaona chawa walivyolivalia njuga tamko la Lisu kuwa kuna pesa chafu. Soma JF humu sasa ndiyo habari ya JF, mara Lisu na Mbowe wanapingana/mahasimu etc etc. Ni jukumu lenu kulikanusha hili maana najua halipo. Watu ni wepesi kuwa swayed na chawa hawa.
Unajaribu kufunika jua kwa ungo?Umemsikia Msigwa akimuita Sugu kwamba ni msanii na sio kiongozi?Wewe jifanye mbuni kuficha kichwa kwenye mchanga kuficha ukweli.Wenzako wanagombania fito wewe piga mdomo tu.
 
Kagurumjuli ni "aliyekuwa" Mkurugenzi wa Jiji la Mwanza. Sasa hivi yupo Ubungo. Kuhusu kuuza Coco Beach sijui, ila kuhusu Pamba kupanga kwenye apartments zake kule Lwanhima ni kweli Pamba SC wanakaa huko. Kuhusu kama utaratibu ulifuatwa bila conflicts of interest sijui. Lakini usisahau Chadema Makao Makuu wanapanga ofisi kwenye nyumba ya Baba Mkwe wa Mwenyekiti Mbowe! Ahahahahaha!!!!
Sasa unajichekesha kama kahaba ili iweje?
 
Uandishi ni taaluma - Uhuru nao pia una mipaka yake. Nyanda aombe radhi kabla hajaaibika kitambo. Kagulumjuli ni MTU poa sana
 
Huku kukurupuka kuna siku sio mbali sana utajutia hayo unayoandika bila ushahidi wa uhakika.
Mimi ndio nilipendekeza Kagulumujuli atimuliwe Mwanza, ila sikujua kama pendekezo langu limefanyiwa kazi, bali sikutaka ahamishwe ilikuwa atimuliwe tu

Kingine ni hiki, sijawahi kuogopa kulogwa wala kukamatwa na Polisi wa CCM, kwanza hawana uwezo, ni duni sana mbele ya Sheria
 
Back
Top Bottom