Mwanza: Mkurugenzi wa Jiji Kagulumujuli amburuza Mahakamani Mwandishi wa Habari Aloyce Nyanda

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
118,444
219,966
Taarifa iliyotolewa na Mabere Makubi kutoka Mwanza, inaeleza kwamba, Mtukufu Kagulumujuli ambaye ni Mkurugenzi wa Jiji hilo na Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM kutokea Wilaya ya Kinondoni, amefungua kesi Mahakamani dhidi ya Mwandishi wa Star TV, Aloyce Nyanda kwa Tuhuma za kumchafua.

Kagulumujuli pamoja na mambo mengine analalamika kwamba tuhuma kwamba aliuza COCO BEACH ya Dar es Salaam si za kweli huku akikanusha kwamba amefanya njama ya kuipangisha Timu ya Soka ya Pamba ya Jijini humo kwenye nyumba yake Binafsi kinyume cha utaratibu.

Ngoja tuone mwisho wa kesi hii kati ya Raia mwema Nyanda na Mtuhumiwa wa Mauaji ya Akwilina, Kagulumujuli.
 
Nieleweshe kuhusu hayo mauaji ya Akwilina Mkuu, kabla sijatoa maoni yangu.
Akiwa DED wa Kinondoni alipanga mauaji ya viongozi wa Chadema walioamua kuandamana kupinga mawakala wao kunyimwa viapo vya uwakala kwenye vituo vya kura, kwa Bahati mbaya Mashambulizi ya risasi yakampata mwanafunzi wa NIT Aliyekuwa kwenye Daladala Akwilina
 
Baada ya Star Tv kuyumba, mbinu anayotumia Alloyce Nyanda ni kutisha viongozi wa serikali kanda ya ziwa kwamba ana ka issue fulani, kama anataka kabaki gizani, basi kiongozi huyo atoe hela, akigoma anajifanya kumlipua.

Hata yule Mkurugenzi wa Ukerewe aliyetumbuliwa, baada ya Alloyce Nyanda "kuogeshwa" manoti, akaandaa mfululizo wa taarifa kutoka ukerewe akimsafisha, mara aonyeshe mashule, mahospitali, lakini wapi, serikali ina taarifa zake, ikamtumbua

Nashauri StarTv walipe waandishi wake ili kuepusha vishawishi visivyo na msingi.

Juzi naona "kajaa" mwenyewe baad aya kufanya kazi ya utakatishaji taarifa kuhusu uuzwaji wa viwanja vya jiji,hapo alipojaa mpaka akaandaliwa kongamano, hatatoka, akitoka, basi vingi vitatoka na kupumzika kwa amani, akibaki, atabaki kama uji wa muhogo, a.k.a udaga.

Baada ya kesi hii kufunguliwa, atawapigia "mabwana zake" ili wamkalisbe chini na anayemshitaki wayamalize
 
Ohoooooo
 
Taarifa iliyotolewa na Mabere Makubi kutoka Mwanza, inaeleza kwamba, Mtukufu Kagulumujuli ambaye ni Mkurugenzi wa Jiji hilo na Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM kutokea Wilaya ya Kinondoni, amefungua kesi Mahakamani dhidi ya Mwandishi wa Star TV, Aloyce Nyanda kwa Tuhuma za kumchafua.

Kagulumujuli pamoja na mambo mengine analalamika kwamba tuhuma kwamba aliuza COCO BEACH ya Dar es Salaam si za kweli huku akikanusha kwamba amefanya njama ya kuipangisha Timu ya Soka ya Pamba ya Jijini humo kwenye nyumba yake Binafsi kinyume cha utaratibu.

Ngoja tuone mwisho wa kesi hii kati ya Raia mwema Nyanda na Mtuhumiwa wa Mauaji ya Akwilina, Kagulumujuli.
Huyo ni ",Mkurugenzi", ambaye ni Mjumbe wa Halmashauri Kuu; mwenye madaraka ya kusimamia chaguzi na kura za wananchi. Kama huu siyo ukichaa ndani ya nchi hii tuuite kitu gani?

Haya ndiyo tuliyotaka CHADEMA iyaeleze vyema kwa wananchi kabla ya chaguzi hizi zinazokuja, ili wananchi walio na uelewa wakomeshe ukichaa huu.

Sasa sijui itakuwaje tena.
 
Tukienda pamoja na matukio yote..
Mkurugenzi wa jiji ni kama anavyotuhumiwa na kilaza mjanja mtozi ni opportunist.
 
Akiwa DED wa Kinondoni alipanga mauaji ya viongozi wa Chadema walioamua kuandamana kupinga mawakala wao kunyimwa viapo vya uwakala kwenye vituo vya kura, kwa Bahati mbaya Mashambulizi ya risasi yakampata mwanafunzi wa NIT Aliyekuwa kwenye Daladala Akwilina

Wewe Jacobo acha uongo kesi inahusu mambo ya mwanza- suala la Akwilina maauaji mlisababisha nyinyi
 
Erythrocyte , unaona chawa walivyolivalia njuga tamko la Lisu kuwa kuna pesa chafu. Soma JF humu sasa ndiyo habari ya JF, mara Lisu na Mbowe wanapingana/mahasimu etc etc. Ni jukumu lenu kulikanusha hili maana najua halipo. Watu ni wepesi kuwa swayed na chawa hawa.
 
Taarifa iliyotolewa na Mabere Makubi kutoka Mwanza, inaeleza kwamba, Mtukufu Kagulumujuli ambaye ni Mkurugenzi wa Jiji hilo na Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM kutokea Wilaya ya Kinondoni, amefungua kesi Mahakamani dhidi ya Mwandishi wa Star TV, Aloyce Nyanda kwa Tuhuma za kumchafua.

Kagulumujuli pamoja na mambo mengine analalamika kwamba tuhuma kwamba aliuza COCO BEACH ya Dar es Salaam si za kweli huku akikanusha kwamba amefanya njama ya kuipangisha Timu ya Soka ya Pamba ya Jijini humo kwenye nyumba yake Binafsi kinyume cha utaratibu.

Ngoja tuone mwisho wa kesi hii kati ya Raia mwema Nyanda na Mtuhumiwa wa Mauaji ya Akwilina, Kagulumujuli.
Watuhumiwa wa kesi ya Akwilina Si walishahukumiwa?
 
Back
Top Bottom