Mwanafunzi Humphrey Makundi aliyeripotiwa kupotea, apatikana akiwa amefariki na kuzikwa

Ninachojuwa mzazi ndo keshaingia hasara. Shule watahonga na wataachiwa huru.

Cha kuangalia ni kesho ya hao malaika wanaosoma hapo shuleni.

Je wazazi watatia nta kwenye masikio na kuishia kusema MUNGU ANAJUWA?
Mshiki jambo hili litaipoteza shule istoshe wazazi wataondoa watoto wao hapo shule.huyu mama huwa na roho mbaya kma sura yke ilivyo
 
axeee ndo wazazi wawe makini...ata wazazi mnaopeleka watoto wenu wadogo english medium kama pale dodoma kwa ile shule kubwa karibu na mbuyu usiokatwa....mtakuja jutaaaa.....hamuwaulizag watoto wenu ucku wanaendaga wap....hahaaaaaa
Acha kabisa, inahuzunisha hasa ukiangalia watoto wa watu walivyo innocent jitu na roho yake mbaya na greedy wa hela anamtesa.
 
story ndefu sana but shortly alikuja kusema yote baada ya kufanyiwa maombi sanaaaa maana kulikuwa kama na mvutano hawataki kumwachia nayeye alikuwa ana feel kabisa bado sijawa sawa, alikuwa porini na mwenye shule (huko ndo kwao alikokuwa ana refer) wanakula matunda chakula chao, wanatembea kwenda baharini arabuni, yani ilikuwa inatisha! Alishafika mbali sana kiroho I guess the next thing walikuwa wamuue. Which was almost the time wakaanza na gia ya kupotea, alipotea siku 2, bahati nzuri alibeba simu yake! Siku hiyo scola mwenye shule alimsingizia kaiba simu ya shule kumbe wali misplace mahali wenyewe, alimtandika balaa so ile kujitetea na yule mama haelewi dogo akawa kama kachanganyikiwa akaondoka kama mwehu(wehu wa hayo mambo ya kiroho) hakuwahi kukumbuka mpaka leo alilala wapi zile siku mbili yapo alikuwa rafu sana kama alilala machakani.
Alivyofunguka akawa anamwona mama mwenyewe shule mgonjwa sana, na katika reality yule mama alikuwa mgonjwa karibia kufa, na ndipo ali give up akamwachia! Ilikuwa kama movie! Ikamuathiri akili kwa muda mrefu akajiona tofauti na wenzie wa familia, Mambo yakiroho magumu Kweli, ilikuwa kama horror movie yet you have to save ndugu yenu. Nikajiapia sitokaa nipeleke mtoto wangu shule ya mtu binafsi! Bora aende serikalini akumbane na stories za vibwengo afeli afaulu atajiju ila arudi salama!
Duh, pole sana, inasikitisha mno kwa kweli
 
Duuh poleni, changamoto hii kwakweli. Yatupasa kusali kila wakati na kila mahali; ila sasa tunafungwa sana kusali na kufanya ibada za kujilinda.

Mie natamani kama haya yasemwayo yafanyiwe kazi hiyo shule ifungwe serikali itaifishe hayo majengo kila mzazi achukue mwanae ampeleke shule nyingine.
 
Huyo mmiliki ni kumfungulia kesi ya madai baada hiyo ya mauaji ili ataifishe hayo majengo na kufanya hosp
 
Leo nimeona meseji whatsapp mwanafunzi wa kidato cha pili, scolastica secondary huko Moshi amepotea anatafutwa.
View attachment 633574
Taarifa ya habari ITV wameonesha amepatikana ila amekufa, na amezikwa, wamefukua kaburi wametoa mwili kwa ajili ya uchunguzi, bahati mbaya nimekuta taarifa inaendelea, mlioona taarifa yake nini kimemuua huyu mtoto? Apumzike kwa Amani

View attachment 633251

Imeniuma sana Kuona Baba anafukua kaburi la kijan* wake, wakati Ndugu, policie, waumini wenzie na wasamaria wema walipaswa kumsaidia. I cant imagine the pain he went through. Cha, lanyoe, kyawawa mnu, shiwa iamba pfo!!. Lack of moral TZ au Ubinadamu zero kabisa?? Shame thing!!

R.I.P Humphrey.
 
Hata wanafunzi waliokuwa marafiki na huyo marehemu wachunguzwe pia hata wao wanaweza kuhusika kwa kiwango kikubwa pengine walitoroka wote wakavamiwa huko mwenzao akapigwa wauaji wakazika wao huku kufuta ushahidi wakapoteza vitu vyake watoto wa sasa hivi si watu kizazi hiki sicho hakifai kuna wakati unaona bora kutozaa tu mkaishi mnastarehe na mwenzi wako siku zikaenda watoto wanakera mno,wanafunzi wa Agape Lutheran seminary ya hukohuko marangu walitoroka shuleni wakashuka huku kwa wenyeji wakala kiti moto na ndizi choma na pombe kulipa hawakuweza walitandikwa kisawasawa wakafungwa kamba ndipo wasamaria wema wakapiga simu shule wakaenda kuokolewa bila hivyo na wangeshaoza na walikutwa wamefungwa kamba zimezungushwa mwilini
Kwani ulikuja kustarehe hapa duniani? Are you forgetting that you were once a child? unadhani wewe ulikuwa 'mtoto mtakatifu'? Kamam wewe ni mzazi au mlezi lazima unafahamu kwamba kisayansi kuna umri watoto wetu wanakuwa almost 'uncontrollable' sio kwa kupenda bali tu ni mchakato asilia wa ukuaji. Kwenye kipindi hiki ndipo tunatakiwa kuwa ongoza kwa umakini zaidi maana wanafanya maamuzi amabayo yataathiri maisha yao (+vely au -vely)

Kwa suala la Humprey hakuna sababu iwayo yote ingeweza kumfanya atendewe aliyotendewa na hao waliomtendea. so please stop your nonsense hapa ati ni bora mtu usizae blah blah blah! His parents are gravely grieving at this moment regardless of how innocent or mischievous their son was. Mtoto amekufa mdogo, kifo kibaya na maziko ya kishenzi kabisa. He did not deserve this! The school administration should be put to task na hao walio conspire nao!
REST WELL SON!
 
Mtoto wa kidato cha pili anabonge la simu, r.i.p Humphrey
Kwa hiyo adhabu ya mtoto wa kidato cha pili mwenye bonge la simu ni kuuawa na kuzikwa kishenzi? Or what exactly was your point here?
 
ACHA ujinga, Usiishi kwa mazoea, Tatizo na watoto wenu mnawadekeza, Watoto mnalea kama yai. Subiri uchunguzi wa polis ufanyike.
Kwa hiyo mwanangu kama 'nimedekeza' (sijui kiwango cha hilo deko umepimaje) nikimpeleka shule dawa yake wamuue?
 
Point of correction ni kuwa shule ni ya huyo mama anaitwa Scolastica, na siyo ya Shayo! Pia Shayo siyo mume wa ndoa wa huyo mama, Shayo ana mkewe wa ndoa yupo hai! Ila amezaa tu na huyo mama watoto wawili ama mmoja, nina hakika kabisa na huyo wa kiume anayesoma Kenya!

Shayo kwa huyo mama ni boya tu. Hata biashara za huyo jamaa kama uwakala wa pombe za jumla hapo himo na marangu huwa huyo mama anaziingilia atakavyo na huyo mwana wa kike (siyo wa shayo..eliza). Kifupi ni kuwa Shayo haongei kabisa kwa huyo mama. Siku huyo bibimkora akikasirika shayo anafukuzwa kama mbwa anarudi kwa mkewe.

Wafanyakazi wananyanyaswa sana na huyo mama, na hakuna mfanyakazi wa shayo anayelipwa zaidi ya laki na nusu msharaha!

Ni ukweli usiopingika kuwa polisi ya himo ipo chini ya payroll ya shayo na huyo mama!
Mbona upo nnje ya mada..au unachuki binafsi kama hawaongei haituhusu.. Issue ni ya huyu mtoto.
 
Back
Top Bottom