Mwanaccm hawezi kuupinga Muungano kwa sababu Muungano ni Imani ya CCM, bila Muungano hakuna CCM!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
85,045
143,785
Huo Ndio Ukweli wa Jumanne hii.

Moja ya Imani Kuu ya CCM ambayo mwanachama hujiapiza nayo mbele ya Mungu wa mbinguni ni Kuulinda Muungano wa Tanzania.

CCM ni Tunda la TANU na ASP zilipoungana Ndio ikazaliwa 05/02/1977.

Tundu Antipas Lisu sera ya chama chake Chadema ambacho nacho ni tunda la Muungano ni Muungano wa Serikali 3 lakini Kiapo Cha Imani ya CCM ni Serikali 2 kuelekea 1.

Kwahiyo Muungano uko pale na utadumu na Serikali 3 haitawezekana kwa sababu CCM itakuwa Inajikana Yenyewe.

Mungu wa mbinguni awabariki. ๐Ÿ˜„
 
Huo Ndio Ukweli wa Jumanne hii

Moja ya Imani Kuu ya CCM ambayo mwanachama hujiapiza nayo mbele ya Mungu wa mbinguni ni Kuulinda Muungano wa Tanzania

CCM ni Tunda la TANU na ASP zilipoungana Ndio ikazaliwa 05/02/1977

Tundu Antipas Lisu sera ya chama chake Chadema ambacho nacho ni tunda la Muungano ni Muungano wa Serikali 3 lakini Kiapo Cha Imani ya CCM ni Serikali 2 kuelekea 1

Kwahiyo Muungano uko pale na utadumu na Serikali 3 haitawezekana kwa sababu CCM itakuwa Inajikana Yenyewe

Mungu wa mbinguni awabariki ๐Ÿ˜„
Uko sawa kabisa, unapingaje muungano wakati ndio unafaidisha chama?
Lakini hao wana ccm wako loyal to chama kuliko nchi. Muungano unafaidisha chama lakini hauna usawa kwa nchi. Kuna upande unabebwa kwa upendeleo
 
Huo Ndio Ukweli wa Jumanne hii

Moja ya Imani Kuu ya CCM ambayo mwanachama hujiapiza nayo mbele ya Mungu wa mbinguni ni Kuulinda Muungano wa Tanzania

CCM ni Tunda la TANU na ASP zilipoungana Ndio ikazaliwa 05/02/1977

Tundu Antipas Lisu sera ya chama chake Chadema ambacho nacho ni tunda la Muungano ni Muungano wa Serikali 3 lakini Kiapo Cha Imani ya CCM ni Serikali 2 kuelekea 1

Kwahiyo Muungano uko pale na utadumu na Serikali 3 haitawezekana kwa sababu CCM itakuwa Inajikana Yenyewe

Mungu wa mbinguni awabariki ๐Ÿ˜„
Imani ni sawa na ushirikina, ushirikina hata kama hauna tija utaamini una tija!
 
CCM ni Tunda la TANU na ASP zilipoungana Ndio ikazaliwa 05/02/1977
โ˜๐ŸฟNadhani Born town wa Kariakoo, Magomeni na vitongoji vyote vilivyo karibu navyo, walio kumkaribisha Mwl J. K Nyerere, wanaunga mkono hilo juu-walimnunulia mpaka suti ya kwenda mkutanoni!

Nikirudi kwenye mada, naunga mkono mtazamo huo kwa upande upande, kwani naamini wapo piiipoz wanaounga Mkono Muungano wetu.
 
Huo Ndio Ukweli wa Jumanne hii

Moja ya Imani Kuu ya CCM ambayo mwanachama hujiapiza nayo mbele ya Mungu wa mbinguni ni Kuulinda Muungano wa Tanzania

CCM ni Tunda la TANU na ASP zilipoungana Ndio ikazaliwa 05/02/1977

Tundu Antipas Lisu sera ya chama chake Chadema ambacho nacho ni tunda la Muungano ni Muungano wa Serikali 3 lakini Kiapo Cha Imani ya CCM ni Serikali 2 kuelekea 1

Kwahiyo Muungano uko pale na utadumu na Serikali 3 haitawezekana kwa sababu CCM itakuwa Inajikana Yenyewe

Mungu wa mbinguni awabariki ๐Ÿ˜„
Ni kwa nini wewe unapenda kutaja jina la Mungu kwenye mambo ya ovyo ovyo..usidhani jina la Mungu ni km unavyoweza kutaja ccm, endelea kujaza kikombe sababu huu ujinga ni km addiction kwako!
 
Mungu wa mbinguni ni Mungu wa Upendo ๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„
 
Wanasiasa wa upinzani hasa CDM acheni kutuchonganisha Watanzania bara na visiwani sisi ni wamoja na tunaishi kwa kwaupendo nimeishi Zanzibar na nipo Tanzania bara tunaishi vizuri na kwa upendo vizuri tu acheni tamaa ya madaraka kwa kuwatenganisha wananchi.
 
Huo Ndio Ukweli wa Jumanne hii.

Moja ya Imani Kuu ya CCM ambayo mwanachama hujiapiza nayo mbele ya Mungu wa mbinguni ni Kuulinda Muungano wa Tanzania.

CCM ni Tunda la TANU na ASP zilipoungana Ndio ikazaliwa 05/02/1977.

Tundu Antipas Lisu sera ya chama chake Chadema ambacho nacho ni tunda la Muungano ni Muungano wa Serikali 3 lakini Kiapo Cha Imani ya CCM ni Serikali 2 kuelekea 1.

Kwahiyo Muungano uko pale na utadumu na Serikali 3 haitawezekana kwa sababu CCM itakuwa Inajikana Yenyewe.

Mungu wa mbinguni awabariki. ๐Ÿ˜„
Hakuna muungano bwashee ni ubabe tu, nchi moja ndogo kuinyonya nchi moja kubwa na kuiazima maraisi toka huko

Kama hivi ndivyo wanaccm hata wale wa katavi bariadi na tunduma wanataka basi hakuna namna
 
Huo Ndio Ukweli wa Jumanne hii.

Moja ya Imani Kuu ya CCM ambayo mwanachama hujiapiza nayo mbele ya Mungu wa mbinguni ni Kuulinda Muungano wa Tanzania.

CCM ni Tunda la TANU na ASP zilipoungana Ndio ikazaliwa 05/02/1977.

Tundu Antipas Lisu sera ya chama chake Chadema ambacho nacho ni tunda la Muungano ni Muungano wa Serikali 3 lakini Kiapo Cha Imani ya CCM ni Serikali 2 kuelekea 1.

Kwahiyo Muungano uko pale na utadumu na Serikali 3 haitawezekana kwa sababu CCM itakuwa Inajikana Yenyewe.

Mungu wa mbinguni awabariki. ๐Ÿ˜„
Siasa ni kitu hewa mkuu kama uliyoandika hapa,hamna kitu,ni uongo na hewa.CCM inaweza kuwepo bila muungano,na mwana CCM anaweza kupinga muungano.Halafu kusema CCM ni imani si kweli,that is what I can call jargon.Inaelekea hujui hata maana ya imani.This is manipulation of minds by using empty words.I am sorry,lakini I have to be frank.

This is the truth about politics ๐Ÿ‘‡
Politics is the manipulation of people to gain power over them.Politicians in their arrogance, flatter and manipulate others to extract benefit from them to serve their own appetites.Their interest in others is not genuine, but rather seek to gain advantage to satisfy their own lust.
 
Kwahiyo muungano ni kwa manufaa ya CCM pekee na siyo nchi? shame on you
Angekuwepo Nyerere angekuwa ameufumua na kuuboresha hakuwa mwoga kwa maboresho yenye maslahi ya Taifa juu ya chama,angalia alivyotuingiza kwenye vyama vingi na uchumi wa kiliberari
 
Back
Top Bottom