Muuza madafu: Mimi mwenyewe nilipomuona yule Komandoo nikagundua nimefanana naye, ila Siyo Mimi japo nacheza Kareti na Boxing!

Ulipo tupo ( wanasema hivyo), ndiyo muelewe kuwa kila kundi ulilopo Kuna chaneli za dola.

Baani kama wahudumu,
Kanisani kama wachungaji,
Misikitini kama mashekhe,
Mtaani kama boda boda, wauza madafu, wauza mkaa, wauza urembo na machinga.

Maeneo mhimu sana katika muktadha wa kiusalama.

Ishi kwa nidhamu na utii wa Sheria.

Mengine waachie wao!
Kiongozi usitake kusema na wewe umeingia kwenye huo mkenge wa kuamini kuwa ni yeye, uliyoyasema ni kweli kuwa jamaa wapo kila sehemu ila kwa ishu ya huyo siyo yeye, anyway muda utasema yawezekana wengine ndio hatujui kufananisha watu vizuri
 
Kabisa Mimi najiuliza why mtu anajua kupigana apate tenda ya kuuza madafu Ikulu?

Huyu Jamaa atakuja kupata kazi ghafla kama yule aliyeokoa Watu Kagera
Possibly ni undercover au ana shughuli zake tu ila alilipwa afanye show off ya madafu pale ikulu.
 
Kiongozi usitake kusema na wewe umeingia kwenye huo mkenge wa kuamini kuwa ni yeye, uliyoyasema ni kweli kuwa jamaa wapo kila sehemu ila kwa ishu ya huyo siyo yeye, anyway muda utasema yawezekana wengine ndio hatujui kufananisha watu vizuri
Sijasema ni yeye mkuu, huyo hata siyo yeye! Acha watu wadanganyane
 
Back
Top Bottom