Muuza madafu: Mimi mwenyewe nilipomuona yule Komandoo nikagundua nimefanana naye, ila Siyo Mimi japo nacheza Kareti na Boxing!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,701
143,127
Muuza madafu amehojiwa na Ayo Tv na kusema yeye Siyo yule Komandoo ila ni Kweli wanafanana

Muuza madafu amesema yeye anacheza kareti na boxing na anatamani sana kujiunga na mambo ya Ulinzi kama wakuu watamuona kama ilivyokuwa kwa Majaliwa wa Bukoba

Muuza madafu amesema alikuwa kwa mama Ntilie Ndio akamuona Komandoo luningani na kugundua wamefanana sana

Mwisho muuza madafu amemuombea Heri Rais Samia na kumuhakikishia yuko salama kutokana na kikosi alichokiona uwanjani

Source: Ayo TV

Pia soma: Huyu Mwanajeshi aliyekuwa akihutubia leo si ndiyo yule muuza madafu wa Ikulu, au?
 
Muuza madafu amehojiwa na Ayo Tv na kusema yeye Siyo yule Komandoo ila ni Kweli wanafanana

Muuza madafu amesema yeye anacheza kareti na boxing na anatamani sana kujiunga na mambo ya Ulinzi kama wakuu watamuona kama ilivyokuwa kwa Majaliwa wa Bukoba

Muuza madafu amesema alikuwa kwa mama Ntilie Ndio akamuona Komandoo luningani na kugundua wamefanana sana

Mwisho muuza madafu amemuombea Heri Rais Samia na kumuhakikishia yuko salama kutokana na kikosi alichokiona uwanjani

Source: Ayo TV
Nawasiliana na wahusika kufanikisha kuwakutanisha kuondoa utata watanzania hupenda kushupalia vitu visivyo na tija!
 
Muuza madafu amehojiwa na Ayo Tv na kusema yeye Siyo yule Komandoo ila ni Kweli wanafanana

Muuza madafu amesema yeye anacheza kareti na boxing na anatamani sana kujiunga na mambo ya Ulinzi kama wakuu watamuona kama ilivyokuwa kwa Majaliwa wa Bukoba

Muuza madafu amesema alikuwa kwa mama Ntilie Ndio akamuona Komandoo luningani na kugundua wamefanana sana

Mwisho muuza madafu amemuombea Heri Rais Samia na kumuhakikishia yuko salama kutokana na kikosi alichokiona uwanjani

Source: Ayo TV
Plausible deniability!

Denialnism is one of the characteristics of any Organization that deals with the secret and illicit activities.
 
Muuza madafu amehojiwa na Ayo Tv na kusema yeye Siyo yule Komandoo ila ni Kweli wanafanana

Muuza madafu amesema yeye anacheza kareti na boxing na anatamani sana kujiunga na mambo ya Ulinzi kama wakuu watamuona kama ilivyokuwa kwa Majaliwa wa Bukoba

Muuza madafu amesema alikuwa kwa mama Ntilie Ndio akamuona Komandoo luningani na kugundua wamefanana sana

Mwisho muuza madafu amemuombea Heri Rais Samia na kumuhakikishia yuko salama kutokana na kikosi alichokiona uwanjani

Source: Ayo TV
Wakiunganishwa wote jukwaa Moja nishtue. Nipo paleee
 
😂😂🤣🤣🤷🏿‍♂️🤷🏿‍♀️🤷🏿‍♂️🤸🏿‍♂️
 
Back
Top Bottom