Hizi movie zote tatu sitozifuata theatre nazisubiria kwenye dvd tuu...after all naona Yes Man imeiknock 7 Pounds kwenye number one spot.
Oh yeah kama hujaiyona seven pound you better go watch it...its a must see and a true story....and another must see Madia goes to Jail...coming soon
na wewe kwa bootleg......
Bootleg? hell no mimi nina channel kutoka jikoni siyo bootleg wala nini kama unataka si useme niku hook up na movies?.
aah aaah mi namtaka Toxicana Naughty girl
Hahaa Taxican is so naughty utamuweza lakini?...
Kuna kitu Ngabu anashindwa?
Hahaa Taxican is so naughty utamuweza lakini?...
...kwa hiyo si wifey material?
You never know kuna vingine viko so overwheelemed vinaweza kumshinda...mana ngoma ya bagamoyo huwezi fananisha na ya Ntwara...
Ngabu got so many tricks and skills up his sleeve to be overwhelemed by Toxy.....
Ngabu ngabu ngabu ngabu ngabu! olooooooo temea mate chini shauri yako...usijifanye kigwendu moto chini kumbe huna lolote....LOL!
weee bibie...umekunywa juisi ya pilipili nini leo? mbona una maneno miingi hivyo.....
lol!....kama nimekunywa then uunaweza ukawa wewe umeninywesha aisee si bure....
inawezekana maana ya kwangu napenda kuongeza sukari....sasa mchangayiko wa pilipili na sukari si mchezo.....
Mchanganyiko wa pilipili na sukari!...uuuughh utakuwa una taste kama mtindi uliochacha....