Mungu anaonya serikali hii , kwa vita hii mmeanzisha kamata watu ,hamtashinda

4 7mbatizaji

JF-Expert Member
Dec 8, 2019
6,105
6,916
Wakuu nawasalim katika yule alie juu ya kila kitu kila mmoja kwa imani yake .Niende kwenye mada moja kwa moja

Serikali ya ccm, Naona mmeanza kutangaza vita na wananchi kwa kisingizio cha uhain, kisa watu kukataa MKATABA MBOVU WA BANDARI , mbaya sasa nao vyombo vya dola wanaendelea kutekeza hili kama vile wao walitua toka mwezini na kutua tz .

Zipo taarifa ambazo zinazagaa kwamba , Mdude amekamatwa, Wakili Mwambukusi pia amekatwa ,elewa zama haziko upande wenu , kipindi ichi mnatia moto kwenye mabua yaliyo kauka, vita hivi hamtashinda asema Bwana.

Sasa ujumbe wenu kutoka kwa Mungu kwenu hamtaki acha,

1.Kwadhuluma mnayofanya kwa watanzania kisa ccm na police pamoja na mabunduki yenu kiama kikuu chaja juu yenu(mtalia na kuomboleza) ayo mabunduki yataanza walipukia wenye

2. Mwarabu hataweza miliki mali za watanzania alizoziumba yeye ,yeyote anetumia mabavu katika hili, akatubu kwa imani yake maana kiama juu yake na ukoo wake chaja kwa kasi ya kimbunga

3.Wote wale ambao watateswa , sanifiwa kisa kuzisemea au visemea hadhina ile aliumba ndani ya Tanzania basi wamekumbatiwa mikoni mwake kwa mikono miwili, ila wale wote wakubalio towesha hadhina hii laana ipo juu yao na koo zao

Mwisho , hulazimishwi kukubali au kukataa,chaguo ni lenu .

Tz itaenda kwenye next level na hakuna wa kuzuia asema Bwana
 
FB_IMG_1574277425198.jpg
 
MAGUFULI ALIANZISHA VITA KAMA HII YA KUKAMATA KAMATA WATU NA KUWABAMBIKIZIA KESI MATOKEO YAKE wote tumeyashuhudia.
Hawa wanacheza na moto ,Magufuli pia na serikali yake nilimwambia pitia jf hii , machawa wake walinibeza sana , ila ona walivyopukutika , acheni mchezo nyie ccm hasa mlio top , Bandandari za watu hazitaenda popote, asema Bwana ,shida watu wanafikili mabunduki ndo njia tu ya kujilinda na kutesa watu ,mda ni mwalimu
 
Back
Top Bottom