Kama ulivyosema, kama ufaulu ni mkubwa huyo mtu wa D anafikaje MUHAS? Inamaana wengi watakuwa wamesha jaza nafasi yeye anapitia wapi? Unless kama kuna kubebana, kitu amabacho siamini kwa sasa. Ingawa sijui idadi ya intake kwa sasa lakini ikiwa ufaulu ni mzuri, huwezi kukuta D MUHAS au chuo chochote isipokuwa vyuo binafsi kama IMTU, au Kairuki na nje ya nchi.Maelezo mazuri. Je ni sawa kuwa na D kwenye course za Afya kwa génération ya sasa wakati ufaulu wa sasa ni mkubwa kulinganisha na awali. ?
Kumbuka kila nchi inamfumo tofauti wa elimu, kwamfano Marekani wao Pharmacist ana kuwa na doctorate degree, yani PharmD ndiye pharmacist, na ukiangalia hata kwenye borad yao ya pharmacy yani AACP wanasema kabisa kuwa pharmacist lazima huwe na pharmD.Swali la hovyo sana halafu umejiandika una masters
If you are a doctor you will work with nurses as well as pharmacist , you will explain things to them and they will explain to you
if you are good enough both of them will be your friends
You have something to learn from pharmacist, if you don’t interact with them … you will know only what you know ,
if you think you are better than nurses …you will know only what you know
Medical field sio field ya mtu 1 sitting on chair and make it all
Ndio hapo tunapata vijana who ask
Is your family has history of failing from the trees
Hapa nilipo, it is normal thing for me to be in a constant call with pharmacist for 20minutes arguing and discussing based on the statistical data ; akinielezea why dawa niliyo prescribe is not suitable for that patient after he has gone through patient file .
He provides his literature and findings based on the data , you listen you talk and finally we reach consensus, and now you ask him , so what is your recommendation; then he provides the suitable one with hard evidence based on the statistical significance. Ndio maana hukuti medication errors kizembe because we believe kuna Verifier who is a pharmacist , hapo TZ daktari nikifanya professional error kutokana na wingi wa kazi , most of the time ndio inatembea hiyo ……..
Hapo Bongo sijawahi kukutana na hao pharmacist , na ikitokea ni mara chache chache sana , doctor tunaamini we know all , pharmacist nao wanajiona wanajua sana dawa than doctors , nurses yeye anajiona ndio mpango mzima linapokuja suala la mgonjwa and sometime they even teach doctors in the practical sense.
Mfumo wa black countries haupo organized kuwa you guys you need to work pamoja ili mgonjwa awe salama zaid . The ultimate ni afya ya mgonjwa
Hahaha India tena? yani Katoka Aga Khan kwa wahindi kaenda India kwa wahindi?Nchi yetu hii,ukienda na mgonjwa hospital yoyote iwe Muhimbili au Aga Khan zinazoaminika,ukiambiwa kuna operations ujue ni kamari na huyo ndugu yenu haponi.....unaogea na doctor nayeye anakuomba ushauri mtu wa HKL nini kifanyike.
Kama unashida fulani na unakipato,nenda India tu,hapa Bongo unakufa huku unajiona,kuna Mama yetu alikwisha andika hadi urithi, alikuwa anatibiwa Aga Khan,baada ya mtu mmoja kushauri aende India,na wanafamilia kuchanga ili aende,alipofika kule baada ya vipimo,wakashangaa Madaktari wa Tz walikuwa wanatibu jambo ambalo si tatizo,wakashangaa sana....yule Mama baada ya miezi 2 akapona kabisa,mwezi wa tatu akarudi Bongo, anaendelea kula bata fresh kabisa
Sekta ya Afya Tz inawezekana katika vifo vya watu 100,incompetence ya wahudumu inawezekana ikawa inachangia vifo vya watu 15
Hawasikilizagi wanajiandikia tu vikaratasi vyao huku wanachati WhatsappNakumbuka nikiwa form 3, niliwahi kumuachia daktari makaratasi kwa kutotaka kunisikiliza maelezo yangu. Naingia tu anaandika vipimo, namuuliza mbona hujanisikiliza, we nenda maabara kwanza.
Bila shaka siku hiyo nilimuachia funzo kwa kijana mdogo kugomea upuuzi wake.
Nikaenda private hosp kupata huduma. Madaktari na watoa huduma wote, jifunzeni kusikiliza kwanza.
Hahahah BICHWA WHAAATT?Africa graduates ....kazi kujivimbisha bichwa komwe tuu akili kisoda.....
Mkuuu unakitu utafika mbali we endelea kupiga promo vyuo hivyoWapo wengi
Mfumo wa Afya unatuangusha
Kuna yule docta anauliza tell me your family has the history of falling from the tree?
Mambo ya hovyo sana
Mpuuzi huyu anajigambaMimi naona wewe ndo shida na siyo hao unaowasema. Hivi unategemea mtu ambaye ndo anaanza kazi awe competent kama wewe ambaye upo kazini muda mrefu?
Badala uwaelekeze waelewe wewe unaanza kuponda vyuo wanavyotoka, hivi huoni kwamba wewe ni tatizo zaidi sehemu yako ya kazi zaidi ya unavyojiona?
Exactly MUHAS wako very well structured na staff wa kutosha and most of them are competent at what they do,Best Pharmacy ni MUHAS
Exactly MUHAS wako very well structured na staff wa kutosha and most of them are competent at what they do,
Pharmacy ya CUHAS haieleweki
Staff wenyewe hawatoshi
Shule kashikilia yule mama wa kijapan, hana competence and she is not even a visionary. Ada yao sasa......
Kuliko kusoma CUHAS hiyo hela bora niingie mtaani direct
Aghakhan HQ pharmacist ana mchango mkubwa sana kwa direct care ya mgonjwa,Kumbuka kila nchi inamfumo tofauti wa elimu, kwamfano Marekani wao Pharmacist ana kuwa na doctorate degree, yani PharmD ndiye pharmacist, na ukiangalia hata kwenye borad yao ya pharmacy yani AACP wanasema kabisa kuwa pharmacist lazima huwe na pharmD.
Nurses pia wao wana mifumo yao tofauti na kwetu. Hivyo nakubaliana na wewe huwezi kukuta Pharamcist Tanzania wa kuanza kuleta evidence na statistical data evidence kwa ajili ya kumshauri daktari, na hapa kwetu mara nyingi humkuti pharmacist ndani ya pharmacy kuna kuwa na trained personnel wanakuhudumia.
Sijui uko nchi gani lakini sio kila kitu hapa kwetu ni kibovu, ingawa ubovu upo.
Ndio..... CUHAS miyeyusho sana pharmacy, hata sielewi vigezo vya wao kupewa usajili wa course back then vilikua ni niniKweli ?
Aghakhan HQ pharmacist ana mchango mkubwa sana kwa direct care ya mgonjwa,
Back in the days ulikua mpaka kuna fungu unapata kama ukiweza kwenda extra mile kushauriana na daktari kuhusu tiba ya mgonjwa ending up on improvement ya previous PRESCRIPTION....
Shida ya nchi hii...
DOCTORS wanajiona superior na much know kumbe wengi wao ni vilaza tu hawana competence hiyo....kazi kuwahi vijiwe vitatu vitatu kusaka tonge.
PHARMACIST wengi ni incompetent sababu vyuo vingi ni tia maji tia maji na wengi wao wakifika magazine hawajiendelezi so ni mwendo wa kugawa dawa tu bila kuwa na tangible contribution ya kuimprove care ya mgonjwa,
Hizi public hospital watu wanajaa dirisha la dawa unakimbiza foleni waende maana wanakuwaga na visirani kweli
Angalau wagonjwa wa wodini kama upo competent you can contribute something
NURSES wanadharaulika sana.... they do the most when it comes to hospital set up lakini wanalipwa the least
MAABARA hii taaluma hata haipewi uzito unaostahili, hata ajira zao wanaminya sana mikeka ikitoka......
Inshort ili tiba iende vizuri
Daktari inabidi awe very competent sababu yeye ndo mtu wa kwanza kumuona mgonjwa....
Na yeye ndo ana chance kubwa ya kurecommend vipimo sahihi
Na vipimo vikiwa sahihi inakua easier hata kutoa dawa za uhakika
Hapo kwenye dawa, kuna tofauti ya kutumia dawa ya kiwanda A class na viwanda vya kajamba nani, therapeutic outcome may not be the same... ndo maana hospitali ghali hukuti brands cheap cheap
Sasa
DAKTARI MUCH KNOW FULL KUWAHI VIJIWE
PHARMACIST WA MEDSCAPE
MTU WA MAABARA YEYE ANAPOKEA TU INSTRUCTIONS
Lazima tiba iwe a mess and vicious circle ya incompetence
Viongozi wezi wapo kote dunianiCritical thinking
You will need to reason
Kwenye elimu we don’t focus only na cognitive theory ( mfumo mwingi wa elimu ya TZ ni cognitive based only knowledge)
While mfumo wa mbele au hizi international schools ni wanafocus kwenye mambo 3
1. Psychomoteur ( to ensure students has skills may be multiple skills kwenye maisha)
2. Cognitive ( knowledge)
3. Attitudes ( to have the right attitudes )
Mfumo wa TZ una focus kwenye Cognitive tu
Psychomoteur ni zero
Attitude ni zero
Ndio hao viongozi wa TZ , unakuta mtu Rais au Waziri but still anaiba na kupiga deal .
Soma polepole utaelewa sijasema daktari ni mzuri kuliko pharmacist kwa dawa....Daktari hawezi kuwa mzuri zaid ya pharmacist kwenye dawa; unless unazungumzia vyuo vya Kampala, Doctors we are good kwenye diagnosis na pathological finding , nikishajua shida ya mgonjwa kupitia vipimo, ninaweza hata kuchungulia dictionary au hizo standard treatment guideline kujua ni mpe nini.
We focus kwenye pathological issues sio dawa. Tunajua dawa fulan sio nzuri endapo tuna pokea complain nyingi za dawa fulan from patients .
I am working with clinical pharmacist super specialized kwenye Oncology, they are the ones who guide us kwenye medication therapies na mixing , I don’t need to memorize dose scheme , I will know them nikiwa na prescribe sana then it stick in my head .
My main role ni kudetermine issue ya mgonjwa pathologically na ni recommend kipimo ambacho kita confirm my hypothesis….. hayo mambo ya dawa ni already documented, it is not that natoa from my head , nacheck miongozo inasema nini; therefore I expect Pharmacist to lead me further wao ndio Chemist na kazi yao kubwa ni kucheza na madawa dawa And they suppose to know more that anyone else .
A pharmacist is not about mbili mara tatu, Ila kwa Tanzania based on the education setting na system setting Pharmacist wengi ni wa mchongo kama ilivyo kwa doctors ; kwangu mimi heshima nawapa Nurses. Daktari akiwa wa mchongo I expect pharmacist awe smart na kumshauri kuwa hapa umezingua, tofauti na hapo mgonjwa anaenda kufia mbele…..
doctor wa imtu mchongo + Pharmacist Kampala wa mchongo= Death
Nilishawahi kuona a prescription from Hospital kubwa ipo maeneo ya Tegeta njia ya Bagamoyo, a patient complained on flu and little coughing : a doctor gave her , Cetirizine, Erythromycin, Cough Syrup , Montelukast na Diclofenac
Ngoma ikatoka kwa Doctor ikamfikia Mfamasia wa mchongo, akachomoa Dawa ! Uzuri huyo shemu wangu Hajasomea mambo ya Afya but ni msomi na ni critical thinker , she doubted the prescription! Na Bima imeshachanja!
dawa nyingi kwa mtoto wa 13 years .
She called me on WhatsApp , for clarification, is this really okay ?
Nilishangaa sana, I told her usimpe hata moja. Nikamlink na watu wangu wa maabara TZ wamcheck kama ana any infection , she was clean , and no fever , just flu na simple dry cough, I recommended only one thing , and in 3 days she got better !
Now imagine for kayumba na wale wanao trust the system….Bongo pagumu snaa na chanzo chote mfumo mbovu wa elimu na setting
Nasikia now F zinapiganiwa wajiunge nao kusomea Afya
Ukitaka kuwa na kizazi cha hovyo, haribu mfumo wa elimu for the sake of CASH ! Ndio maana utaona leo hata Babu tale a standard 7 failure ni mmbunge and he is a policy maker for the country , shame
Soma polepole utaelewa sijasema daktari ni mzuri kuliko pharmacist kwa dawa....
Sasa dawa za kawaida ukitoa traditional medicines it's all about "pharmacology"
Sasa CUHAS pharmacist kwa kipindi kirefu alikua anasoma pharmacology semester 1 kama sio mbili tena kwa kuchanganywa na MD... sasa unategemea huyo mtu akimaliza shule awe superior kwenye dawa????? Superiority comes from knowledge, which is translated to experience ukifika kazini
Muda huo MUHAS pharmacology ni kila mwaka since 2nd year tena wenyewe bila kuchanganywa na course yeyote
Shida inarudi palepale, wanatoa sajili za hivi vyuo bila kukidhi vigezo.... staff wachache, imagine chuo 90% ya walimu wanatoka MUHAS, watoto wanafundishwa 1 month vitu vya semester nzima, aisee kila nikiwaza ile ADA YA CUHAS ROHO INANIUMA
Point yangu ni kwamba daktari akiwa incompetent anaharibu chain nzima ya therapeutic outcome and it's even worse kwa OUTPATIENTS, sababu Tanzania watu wengi hawana culture ya kutibiwa hospitali moja na daktari mmoja majority ya visits
Zahanati zina MO/CO na nurses maisha yanaenda.......Kumbe CUHAS ni mchongo mtupu
Kuna hawa wanaenda India kusoma Famacy miaka 3 mmmmh
Makozi mengine km hayo mafasi sio kabisa
Kwa Tanzania haijulikani kazi yao ni nini
Hivi leo Hosp zikiwa Hazina wafamasia hazito operate ? Kwa TZ jamaa wapo but umuhimu Wao sijauona
Ila kwa huku Famasia ni watu muhimu kuokoa maisha ya watu
Zahanati zina MO/CO na nurses maisha yanaenda.......
Nurse anagawa dawa, nurse anasoma vipimo lab
If all you do is 2×3 type of things, anyone can do that for as long as amesoma some sort of afya anafanya...
Umuhimu wa mfamasia utaonekana kama wenye taaluma wanaofanya kazi hayo maeneo wataonesha umuhimu wao