EMMYGUY
JF-Expert Member
- Aug 6, 2015
- 11,088
- 25,283
Ya Ngoswe mwachie Ngoswe.Aiseeee
Ya Ngoswe mwachie Ngoswe.Aiseeee
Hapo nimekuelewaNitakuelekeza, nina vihenge 5 vya magunia 100 kila kimoja Sumbawangu Rukwa, uwa nakusanya Mahindi na kuyauza.
Nina office Mbeya mjini nalipa 300,000 kwa mwezi mahali pazuri sana, kwa nje pana photocopy na stationery.
Lengo la office :
- Nikipata wateja wa Mahindi toka Kenya / Rwanda ndo mahali nakutana nao.
- Hiyo laki 3 nalipa pale haina uhusiano na hiyo stationery hata kidogo.
HahahPengine anauza Uchi/Utupu/Uzazi.
Wateja huwaoni wewe tu ila wapo🤣
mzee walter white aka heisernberg alisema hapa
Strategies za uzaji zipo nyingi mkuu! mambo yamebadilika now days, kwa mfano kama wateja wake wapo mitandaoni!Hivi mshawahi kujiuliza unapita mahali mtu kafungua frem au duka hata hamna wateja unajiuliza huyu mtu huwa anaweza vipi kulipa kodi wakati hamna wateja?
Hili swali najiulizaga sana, nimekuta mjadala huko mtandaoni leo
Unakuta mtu ana duka la iphone hata simu 10 hazifiki frem kodi ni milioni 2 kwa mwezi na huko alikofungua hata uwezekano wa mtu kumudu iphone hamna yaani huoni hata nzi akiingia dukani kwa jamaa😂😂😂
Hizo ndo biashara zilizopo dsm hii nyingi unabaki unajiuliza huyu mtu huwa analipa vipi kodi?Tena unakuta kaweka na wafanyakazi wa kutosha tu
Hata mlimani city na kwenye mall nyingi ni hivyo hivyo na kwenye maeneo mengi tz
Sasa hawa watu huwa wanamudu vipi kulipa kodi ya frem?Sazingine unakuta frem imejificha huko ndanindani sasa unajiuliza huyu anapataga faida kweli🤣🤣
Kuna duka naziangalia au biashara najiuliza kichwani kwamba huyu mtu huwa anapata hata jero kwa siku kweli?
Siku zote huwa nataka kuwajibu hawa ila huwa nawaacha.Nitakuelekeza, nina vihenge 5 vya magunia 100 kila kimoja Sumbawangu Rukwa, uwa nakusanya Mahindi na kuyauza.
Nina office Mbeya mjini nalipa 300,000 kwa mwezi mahali pazuri sana, kwa nje pana photocopy na stationery.
Lengo la office :
- Nikipata wateja wa Mahindi toka Kenya / Rwanda ndo mahali nakutana nao.
- Hiyo laki 3 nalipa pale haina uhusiano na hiyo stationery hata kidogo.
alafu hayo maeneo uliyotaja yana vichaa wengi sana!Maduka ya kinondoni na mwananyamala hayoo