Pilipilihoho
JF-Expert Member
- Jan 29, 2016
- 202
- 145
Mama mmoja mswahili na mwanawe wa miaka mitano walikuwa ndani ya taxi usiku. Wakapitishwa mitaa ambayo wanawake wanajiuza:
mtoto: Mama, hao watu waliosimama kando kando ya barabara wanafanya nini?
Mama: Wanawasubiri waume zao watoke kazini waje wawachukue ili warudi mwajumbani mwao!
Dereva taxi: Ahaaaa! Mama acha uongo! Mwambie mtoto ukweli, hao ni malaya na hapo walipo wanasubiri wanaume ili wafanye nao ‘matusi’ kwa malipo.
Mtoto: Mama, na watoto wanaozaliwa na hao wanawake hufanya nini?
Mama: Mara nyingi huwa ni madereva taxi!