Kwenda zako na Kiswahili chako cha Kihaya. Kwa nini pasipostahili "H" wewe unaweka, na panapostahili huweki.
Miezi miwili iliyopita nilienda kununua miti ya kuotesha shambani . Mwuuzaji akanieleza kuwa mti fulani ni mzuri maana ni ant mosquito. Nikampuuzia lakini nikaununua -mmoja tu, na nikaupanda mwelekeo wa nyumba upepo unakotokea.
Huu mti umemea vizuri na supprisingly sijaona mbu tena. Je wana JF vipi mliwahi kusikia kitu hii? Ni ya ukweli. Tulikuwa jioni tunaspray dawa za kuua mbu lakini hamna mbuuuu .. Believe me. Jina la mti wenyewe silijui na wale jamaa wansema tu mti wa kufukuza mbu.
Domo Kaya hii avatar yako nikiiona tu mwili unanisisimka!! uliitoa wapi hii?? Kwa jinsi avatar yako ilivyo wala huhitaji hata mti wa kufukuza mbu manake wenyewe wakikuona tu lazima watimue mbio.
Hii ni habari njema sana hususan kwetu wa mtaa wa kwamfuga mbu,je unapatikana wapi mti huu?Miezi miwili iliyopita nilienda kununua miti ya kuotesha shambani . Mwuuzaji akanieleza kuwa mti fulani ni mzuri maana ni ant mosquito. Nikampuuzia lakini nikaununua -mmoja tu, na nikaupanda mwelekeo wa nyumba upepo unakotokea.
Huu mti umemea vizuri na supprisingly sijaona mbu tena. Je wana JF vipi mliwahi kusikia kitu hii? Ni ya ukweli. Tulikuwa jioni tunaspray dawa za kuua mbu lakini hamna mbuuuu .. Believe me. Jina la mti wenyewe silijui na wale jamaa wansema tu mti wa kufukuza mbu.
Tusamehe Mh.Kifimbo cheza!!Kumbe hiki ni kisw cha kihaya!
Nasoma post za wa2 jf kunaviswahili sijui vya wapi. Eg nanilii, naniliu, na mengine mengi...
Mti wenyewe unaitwa Mjasimin.
kweli ni ipi?Sio kweli
kweli ni ipi?
Mleta maada mpaka sasa hajaleta jibu kwamba kweli una miba kama ulivyo muuliza.
Kivumbasi ndy mti wanyewecha muhimu hapa ni picha au jina kamili la huo mti
Mti unaitwa kivumbasiHuyu hana mti wala jiti, hesabu zake tu zimemchanganyia kichwani zinamtuama atuletee hiyo thread.
ingekuwa kweli hata alipo nunua mpaka akapige picha! si aseme tu,ama nayo yahitaji mpaka akapige ilihali mti unafukuza mpaka flash za kamera????
aaaannggggggghhhhhhhhh!!!!!!!!