Mtanganyika anayempinga Lissu kwenye hoja za muungano ana matatizo

Kiboko ya Jiwe

JF-Expert Member
Apr 7, 2020
12,879
36,670
Kama Lissu anaipigania Tanganyika iliyomezwa anakosa gani? Where is Tanganyika?

Kwanini hakuna mamlaka ya bara inayoweza kuvuka bahari huku mamlaka ya Zanzibar inaweza kuvuka bahari?

Watanganyika wenye vyeo acheni ujinga, wajukuu zenu watasema wazee wetu walikuwa matahira kwa mienendo yenu.

Fedha zinaishia, vyeo vinapita.
 
Kama lissu ansipigania Tanganyika iliyomezwa anakosa gani?
Where is Tanganyika?
Kwanini hakuna mamlaka ya bara inayoweza kuvuka bahari huku mamlaka ya Zanzibar inaweza kuvuka bahari?
Watanganyika wenye vyeo acheni ujinga, wajukiu zenu watasema wazee wetu walikuwa matahira kwa mienendo yenu.
Fedha zinaishia, vyeo vinapita.
Siku utakayo amka na kujiona ww mjinga ndo itakuwa mwisho wa kuwachukia wapinzani wa ccm
 
Kama Lissu anaipigania Tanganyika iliyomezwa anakosa gani? Where is Tanganyika?

Kwanini hakuna mamlaka ya bara inayoweza kuvuka bahari huku mamlaka ya Zanzibar inaweza kuvuka bahari?

Watanganyika wenye vyeo acheni ujinga, wajukuu zenu watasema wazee wetu walikuwa matahira kwa mienendo yenu.

Fedha zinaishia, vyeo vinapita.
hata wale wanaompinga mdomoni,moyoni wanamshukuru kwa kutoa ile hoja. watanganyika wote hawaoni faida ya muungano, zanzibar ni mzigo.
 
Kama Lissu anaipigania Tanganyika iliyomezwa anakosa gani? Where is Tanganyika?

Kwanini hakuna mamlaka ya bara inayoweza kuvuka bahari huku mamlaka ya Zanzibar inaweza kuvuka bahari?

Watanganyika wenye vyeo acheni ujinga, wajukuu zenu watasema wazee wetu walikuwa matahira kwa mienendo yenu.

Fedha zinaishia, vyeo vinapita.
We kwani ulitaka muungano uweje ili Tanganyika isimezwe...?
 
Kama Lissu anaipigania Tanganyika iliyomezwa anakosa gani? Where is Tanganyika?

Kwanini hakuna mamlaka ya bara inayoweza kuvuka bahari huku mamlaka ya Zanzibar inaweza kuvuka bahari?

Watanganyika wenye vyeo acheni ujinga, wajukuu zenu watasema wazee wetu walikuwa matahira kwa mienendo yenu.

Fedha zinaishia, vyeo vinapita.
Umepiga msumari wa Moto bila huruma
 
Kuna watanganyika wasio na akili ndiyo wanufaika na huu ujinga wa muungano feki akina nape and the like
Ila kwa uongozi wa sasa wa Mama ndo kaharibu kabisaaaa.
Hata sehemu zile ambazo syo za muungano mfano wizara ya serikali local government samia kateua wakurugenzi toka znz kutawala.
MFANO HANIFA HAMZA mkurugenzi wa KINONDONI
 
Na Watanganyika wako kimya kama mazezeta
 
Tatizo kubwa ni Moja Watu kupigania Cheo na maslahi ya mtu badala ya Taifa.

Mpaka vyombo vya ulinzi na usalama vimebaki kuwa ni vya kulinda vyeo vya watu badala ya Taifa na uhuru wa nchi na maslahi ya Taifa Kwa ajili ya watu wote.

Ni wazi na ni Kwa ni njema kabisa ni kosa kubwa kama Kwa maamuzi ya wajumbe kuruhusu Tena kuendelea na utaratibu huu wa Watawala wawili wakuu wa Muungano kutoka kwenye nchi Moja.
Huu ni kama uvamizi .
Wale watu hawana huruma kabisa na Watanganyika .
Kwanza hawaamini kuwa watanganiyika ni watu wema na wana haki ya kusimamia rasilimali zao walizoumbiwa na Mwanyezi Mungu.
Lakini tatizo kubwa zaidi hawaamini kwamba Tanganyika Kuna watu wenye Imani ya dini na kumhofu Mwenyezi Mungu . Wanaamini Watanganyika wote Waislam Kwa Wakristo ni watu wasio na Imani zaidi ya kuwa ni watu wabaya wasio na Maadili kabisa. Hawaamini na hawapendi Mila na tamaduni za Watu wa Tanganyika. Wanaamini kuwa Mila za watanganyika ni mbaya zinazomchukiza mwanyaizia
Ndio maana hawataki Watanganyika waende Zanzibar Wala kumiliki ardhi Zanzibar.

Ni rahisi Kwa Mtanganyika kupata ardhi Dubai lakini ni vigumu sana kupata Ardhi Zanzibar.
Na ni rahisi mtu wa Omani kupewa ardhi yenye ukubwa wa nchi ya Japan ndani ya Tanganyika na Watanganyika wakafukuzwa lakini ni vigumu mtanganyika kupata ardhi robo Heka Kule Zanzibar.

Muungano wa Tanganyika na Zanzibar sahihi na Asilia ni ule uliokua unamtambua Rais wa Zanzibar kama Makamu wa Rais huku CCM kikiwa ni Chama Cha kupigania uzalendo na kuwatetea wananchi wanyonge .
Lakini Huu Muungano nje ya Imani ya Chama Cha Mapinduzi Asilia ni Muungano wa kulinda maslahi ya wazi na wavamizi na waporaji wa rasilimali za Watanganyika
. Kwa Sasa Muungano uko chini ya CCM maslahi wanaoitafuna nchi Kwa mbinu zote wakishirikiana na wavamizi na mabeberu kutoka ulaya na Asia . Wanapora rasilimali za Tanganyika Bila huruma na kula kulingana na urefu wa kamba zao ambapo wengi wamekata mpaka kamba na hakuna wa kuwafunga Tena kamba.

Katiba mpya italijenga Taifa hili katika misingi imara Kwa vizazi vijavyo.
Mipaka ya watawala Watanganyika na Ile ya Zanzibar itawekwa wazi na Zanzibar ijadili masuala ya Zanzibar na Tanganyika ijadadili masuala ya Tanganyika ndani ya mipaka ya Zanzibar.

Kama tumeshauza Bandari ,mbuga zetu za Wanyama , misitu yetu ,viwanja vya ndege , ardhi kubwa Kila sehemu bila hofu Kwa nini tuihofie kuipa Zanzibar mamlaka yake na Tanganyika mamlaka yake Kisha kuwa na Jeshi la Muungano Kwa ajili ya ulinzi wa mipaka yetu Kwa sababu Kwa sasa tayari tumeshawakaribisha na kuwarudisha wale wanyonyaji na maadui zetu tulikua tunawahofia kurudi na kutunyonya.

Katiba iliyopo inatoa mwanya wa mtu mtu Mmoja kuwa mkuu kuliko Mungu muumba wa vyote . Hii ni hatari sana.

Ya Tanganyika haijulikani inapitishwa na Bunge gani . Ndio maana bajeti haijawahi kutangazwa kuwa imefanya nini popote zaidi ya Mama kutoa pesa zake na kujenga barabara,hospitali, barabara ,maji n.k.
Uatasikia mama amejenga barabara kama Vila haulakuna bajeti ya kujenga mabarbara iliyopitishwa na Bunge linalowakilisha wawamanchi
 
Kama Lissu anaipigania Tanganyika iliyomezwa anakosa gani? Where is Tanganyika?

Kwanini hakuna mamlaka ya bara inayoweza kuvuka bahari huku mamlaka ya Zanzibar inaweza kuvuka bahari?

Watanganyika wenye vyeo acheni ujinga, wajukuu zenu watasema wazee wetu walikuwa matahira kwa mienendo yenu.

Fedha zinaishia, vyeo vinapita.
Umenena kweli
 
Umenena mazito.
 
HUYO MTANGANYIKA ATAKUWA MJINGA NA MPUMBAVU
 
Back
Top Bottom