Mtaani kwetu kote mafriji hayawaki kwasababu ya umeme ni mdogo sana

Usiwe unazima friji kabisa umeme ukiwepo. Hata umeme ukiwa mdogo litafanya kazi maana halitahitaji umeme mwingi kujiendesha.
Nilikua sizimag friji kabisa lakini umeme huu wa kuyumba yumba noo
 
Umeme ukiwa mdogo zima friji, friza, ac na vyombo vyengine vyenye mota. Visipozimwa mota zinapata moto sana na vinaweza kuunguwa.
 
Chogo la hapa home juzi kati tu aamka haliwaki ike taa ya standby inamwekua mwekua tu. Nawalaani tanesco
 
Back
Top Bottom