kimsboy
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 9,083
- 18,177
Nyumbani kwangu ni siku ya pili leo taa haziwaki, friji haliwaki kabisa,AC inajiwasha na kujizima, even feni zinatoa upepo mdogo kwasababu ya umeme mdogo!!
Umeme umekua mdogo kiasi kwamba kitu kinawaka hapa ni tv na redio tu
Sijawahi kuona majanga kama haya, hali ya umeme ni mbaya sana nchi hii
Na bado wanakatakata hovyo tu, halafu kuna mtu nzima mmoja anakata keki huko, hii nchi tuna hasara sana, yule mtu ni mzigo kwa taifa letu ni careless kabisa
Ukiangalia utagundua tatizo sio tanesco bali kuna wakubwa wana mkono kwenye hili.