Msimamizi wa Uchaguzi ni mteule wa mgombea wa CCM ,na ni mjumbe wa mkutano mkuu wa CCM wilaya eti uchaguzi utakuwa huru na haki

Mzee wa Twitter

JF-Expert Member
Nov 5, 2023
1,479
2,325
Hakika wenye AKILI KUBWA ndio maana tunasema bila KATIBA MPYA itakayounda UPYA Vyombo vyote vinavyosimamamia UCHAGUZI Nchini.

VYAMA Kuendelea kushiriki CHAGUZI chini ya KATIBA hii inayompa MADARAKA Rais kuteua WAKURUGENZI wa Wilaya Miji na Wakurugenzi hao hao ni Wajumbe wa Mikutano ya CCM kuja KUSIMAMIA UCHAGUZI ni KUPOTEZA MUDA.

KATIBA iliyopo ndiyo iliyounda TUME ya UCHAGUZI TUME ambayo Mwenyekiti na KATIBU wake wote ni WATEULE wa Mgombea URAIS

Je unatarajia HAKI na UHURU wa TUME hiyo kwa VYAMA vya UPINZANI utatoka wapi?

Leo MKURUGENZI wa JIJI la Mwanza ndiye atasimamia Uchaguzi ktk lile JIJI Atatendaje HAKI kwa Upinzani wakati Rais ambaye ndiye kampa UKURUGENZI anagombea Mkurugenzi huyo huyo ni Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM akiwakilisha wilaya Kinondoni Kumbuka Aliyemteua kuwa Mkurugenzi ndiye Mwenyekiti wa CCM anayoiwakilisha.

Vyama vya Upinzani kushiriki Uchaguzi kwa Mazingira haya ni KUPOTEZA MUDA wenu.
 
Kwa mara ya mwisho nilipiga kura ya mabadiliko 2015! Baada ya hapo niliapa sitokuja kushiriki tena kwenye hayo maigizo yao.
 
Bado yule DED wa Dodoma Jiji,now..naye ni MKEREKETWA haswa wa CCM,toka akiwa Ubungo,Musoma n Rufiji..huku Rufiji ndipo alipoenda kukutana na MKWE Mchengerwa..hivi CCM huwa hamuoni AIBU..
Kama Mama anaupiga mwingi,HOFU ya nini?..wapeni waTanzania KATIBA MPYA na TUME HURU
 
Hiyo ya sasa tuu wameshindwa kuishi nayo je mpya ndiyo wataweza? Case study: wabunge 19!!!!
 
Hakika wenye AKILI KUBWA ndio maana tunasema bila KATIBA MPYA itakayounda UPYA Vyombo vyote vinavyosimamamia UCHAGUZI Nchini.

VYAMA Kuendelea kushiriki CHAGUZI chini ya KATIBA hii inayompa MADARAKA Rais kuteua WAKURUGENZI wa Wilaya Miji na Wakurugenzi hao hao ni Wajumbe wa Mikutano ya CCM kuja KUSIMAMIA UCHAGUZI ni KUPOTEZA MUDA.

KATIBA iliyopo ndiyo iliyounda TUME ya UCHAGUZI TUME ambayo Mwenyekiti na KATIBU wake wote ni WATEULE wa Mgombea URAIS

Je unatarajia HAKI na UHURU wa TUME hiyo kwa VYAMA vya UPINZANI utatoka wapi?

Leo MKURUGENZI wa JIJI la Mwanza ndiye atasimamia Uchaguzi ktk lile JIJI Atatendaje HAKI kwa Upinzani wakati Rais ambaye ndiye kampa UKURUGENZI anagombea Mkurugenzi huyo huyo ni Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM akiwakilisha wilaya Kinondoni Kumbuka Aliyemteua kuwa Mkurugenzi ndiye Mwenyekiti wa CCM anayoiwakilisha.

Vyama vya Upinzani kushiriki Uchaguzi kwa Mazingira haya ni KUPOTEZA MUDA wenu.
CCM WAPUUZI KWELI KWELI
 
Ulitaka usimamie wewe?
 
We
Bado yule DED wa Dodoma Jiji,now..naye ni MKEREKETWA haswa wa CCM,toka akiwa Ubungo,Musoma n Rufiji..huku Rufiji ndipo alipoenda kukutana na MKWE Mchengerwa..hivi CCM huwa hamuoni AIBU..
Kama Mama anaupiga mwingi,HOFU ya nini?..wapeni waTanzania KATIBA MPYA na TUME HURU
We hauoni aibu kuwa jinga hivyo
 
Hakika wenye AKILI KUBWA ndio maana tunasema bila KATIBA MPYA itakayounda UPYA Vyombo vyote vinavyosimamamia UCHAGUZI Nchini.

VYAMA Kuendelea kushiriki CHAGUZI chini ya KATIBA hii inayompa MADARAKA Rais kuteua WAKURUGENZI wa Wilaya Miji na Wakurugenzi hao hao ni Wajumbe wa Mikutano ya CCM kuja KUSIMAMIA UCHAGUZI ni KUPOTEZA MUDA.

KATIBA iliyopo ndiyo iliyounda TUME ya UCHAGUZI TUME ambayo Mwenyekiti na KATIBU wake wote ni WATEULE wa Mgombea URAIS

Je unatarajia HAKI na UHURU wa TUME hiyo kwa VYAMA vya UPINZANI utatoka wapi?

Leo MKURUGENZI wa JIJI la Mwanza ndiye atasimamia Uchaguzi ktk lile JIJI Atatendaje HAKI kwa Upinzani wakati Rais ambaye ndiye kampa UKURUGENZI anagombea Mkurugenzi huyo huyo ni Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM akiwakilisha wilaya Kinondoni Kumbuka Aliyemteua kuwa Mkurugenzi ndiye Mwenyekiti wa CCM anayoiwakilisha.

Vyama vya Upinzani kushiriki Uchaguzi kwa Mazingira haya ni KUPOTEZA MUDA wenu.
Mwenyekiti wa CCM alisema, nimekuteua mimi, nimekupa nyumba, gari na mshahara halafu nisikie unamtangaza mpinzani kuwa eti ameshinda uchaguzi! Utanitambua.
 
Back
Top Bottom