Msaada wa mawazo kisheria

Scofied

JF-Expert Member
Jun 5, 2012
2,455
1,659
Wakuu heshima kwenu

Kuna sisi wazazi tulipeleka watoto wetu kusoma nje ya nchi (Ukraine) kabla ya vita kupitia hawa maagent matapeli Globel Education link, nawaita matapeli sababu wanachokifanya kwa sasa ni kama utapeli kuhusu hatima ya watoto wetu na pesa zetu tulizowalipa.

Hawatupi ushikiliano wowote na hawataki kurudisha refund zetu kwa kigezo kwamba Ukraine kuna vita na wakati huo huo watoto wetu walifika ukraine late hawakufanyiwa usajili wowote vita vikazuka wakaanza kukimbia kuokoa maisha yao.

Ikumbukwe walilazimisha wazazi tulipe ada ya mwaka mzima wakati yunajua kabisa chuo unalipa kwa semister wao walichukua ada yote ya mwka na sasa hawataki kuturefund hata nusu au chochote kila siku ni dana dana tu, wanatupa majibu yakukatisha tamaa kila siku tu.

Ndio tuna mikataba na mikataba ina refund policy lakini ukiuliza kuhusu hilo hawana majibu yanayoeleweka na hizo ni pesa mingi sana kwa watoto wote waliowapeleka huko. Ikumbukwe ilipoteka vita wala hawakuhusika kuwarudisha watoto wetu ni sisi wazazi tulipambana kivyetu na watoto wetu.

Na ikumbukwe sisi wazazi sio matajiri ila tulijitahidi hata kwa kukopa ili kutikiza ndoto za watoto wetu ila wanachofanya hawa ni utapeli wa wazi kabisa.

Tunaomba ushauri pa kuanzia kudai haki zetu sababu tunauhakika hawajalipa hizo ada huko sababu watoto hawakusoma hata siku moja. Serikali pia kupitia waziri wa elimu iwaangalie hawa maagent matapeli.

Nawasilisha.
 
Hv ulikosa shule Tanzania za kusoma kama co tajiri umempelekaje mtoto nje pambana na hali zenu ila wangewapa hata ada nusu
 
Pole kama mzazi, Nami ni mzazi pia na usikatishwe tamaa na majibu ya humu JF, wengi wao maisha yamewashanganya na maana hawakawii kulia Lia na viajira uchwara kama vya sensa, u done the right thing kupigania elimu kwa mtoto wako, ni legacy nzuri ya kumwachia, nashauri uje na plan B hapa, kwanza kulipa ada ya mwaka mzima ni kawaida maana mtoto wako sio citizen wa ukraine, kwa hili hesabu hasara ,pls pamoja na ugumu tafuta chuo hapa hapa SADC countries, Zimbabwe elimu yao bado ipo safi tu pamoja na challenges wanazo zipata, SA bado wana vyuo vizuri tu vya kimataifa kama UCT, Stell,Wits, UJ, tafuta nafasi huko mtoto wako aendelee kusoma asihe kuwa kama mazuzu wengi waliojaa humu JF ,kutwa kulalama na kuendekeza mada za ngono
 
Back
Top Bottom