Msaada wa kuweka akaunti mbili za WhatsApp kwenye simu moja

donata fredy

Member
Jul 22, 2016
45
84
Shikamoo wakubwa wadogo zangu hamjambo. Wenzangu mambo

Me mgeni sana mitandao ya kijamii. Kuna mtu alisema unaweza kuweka whatsaap za no 2 kwa Simu moja.......
Anaye anielekeze jaman
 
Download app inaitwa 2Accounts. Hapo unaweza kuwa na Whatsapp zaidi ya moja.
Mi mwenye natumia account tatu tofauti katika simu moja.
 
Rahisi, download whatsapp 2 tofauti. Unaweza ku download moja ile ya stock ambayo ipo Google play.

Nyingine waweza tumia GBwhatsapp, andika GBwhatsaap apk download katika browser yako then search kisha utai download kawaida kama unavyo download nyimbo isipokuwa tu itakuwa katika mfumo wa apk!

Ikimaliza ifungue ili kufanya installation kwenye simu yako. Ukifanikiwa utakuwa nazo mbili ile ya Google play na hii GBwhatsapp.
 
Shikamoo wakubwa wadogo zangu hamjambo. Wenzangu mambo

Me mgeni sana mitandao ya kijamii. Kuna mtu alisema unaweza kuweka whatsaap za no 2 kwa Simu moja.......
Anaye anielekeze jaman
Nitafute 0718126228 nikutumie link ya gbwhatsapp ili upate enjoy whatsapp mbili katika simu yako
 
Mh hili somo hata mi limeniingia lilikua linanisumbua,tigo wakaniambia haiwezekani eti nitumie ya kwao tu!
 
Back
Top Bottom