Baba Moreen
Member
- Nov 2, 2019
- 82
- 108
Habari za majukumu wakuu,
Nilikuwa natumia watsapp mods (Fouad mods), lakini ghafla ilianza kuwa na version nyingi nikaamua kuhamia watsapp official kuanzia majuzi, nilifuta Fouad mods nikadownload watsapp messenger official,..
Shida no kuwa toka ni download watsapp messenger, siwezi kupata verification code na inasema kuwa sina watsapp official ingawa watsapp official ninayo na nimedownload kwenye site ambayo watsapp help center wamenitumia kupitia email.
Nimejaribu kuwatafuta watsapp help center kupitia email yao lakini bado changamoto ipo na wao wanakazia kuwa nidownload watsapp official (wakati ninayo tayari).
Naombeni msaada wa namna bora ya kusolve shida hii na nipate verification code..
kuna muda inasema nisubiri saa 1 likiisha bado inaleta taarifa kuwa natumia unofficial app
Chief-Mkwawa