Msaada tutani: Je? Ninaweza kukatisha muda wa fixed account?

Scolari

JF-Expert Member
Aug 25, 2017
1,694
2,301
Nimeweka pesa fixed account CRDB je naweza katisha muda kisha niitoe pesa yangu? Au ni strict lazima ningoje muda ufike?

Natanguliza shukrani
 
Kila Bank inautaratibu wake wa utoaji fixed account ila tegemea kutopata gawio ,cha msingi urudie mkataba wako vizuri kipengele cha masharti.
 
Back
Top Bottom