Msaada TTCL Copper Internet

renamaizo

JF-Expert Member
Oct 17, 2014
2,126
3,015
Habari za wakati wadau;

Kwa ambao wamewahi kutumia huduma za TTC internet kwa upande wa Copper Cable connection naomba mnipe mrejesho juu ya utendaji wake ukoje katika speed na kadhalika

installation cost ni sh ngapi means vifaa na ufundi total ni sh ngap nimeenda TTCL wameniambia vifaa unaweza nunua mwenyewe je ni vifaa gan ivo
 
TTCL sometimes miyeyusho mkuu sio wakuweka asilimia zote kwa huduma yao ya copper

Majuzi kati mi nimeenda ofisini kwao pale uwanja wa ndege wakanijazisha form wakinilazimisha kuchagua fibre wakati copper mitaa yangu ipo.

Fibre ina gharama installation cost ni mamilion nikawaambia siwezi ku afford hiyo gaharama wakaniambia saizi wamepunguza bei inakaribiana na tu na copper.

Lakini baada ya kujaza form niliambiwa rudi halafu utapigiwa simu tutakuja eneo lako kufanya survey

Nilifikisha wiki bila kupigiwa simu nikawaona hawako serious nikaenda pale kwenye ofisi zao tazara sigara

Pale wakanijazaisha form halafu wakawa wananilazimisha nijaze option ya kampuni nisijaze personal

Baada ya mabishano yaliochukua muda ikabidi waniruhusu kujaza option ya personal.

Kama ilivyo kawaida nao wakaniambia tutakuja kufanya survey.

Hapa napo nilikaa wiki kama mbili hivi mpaka nilipooana uvumilivu umegika mwisho ikabidi nianze kuwasumbua kwenye simu kupitia customer care

Baada ya kama siku tatu wakanipigia wakisema wako mtaani tukaonana lakini walichokisema ndio kinashangaza

Waliniambia kwanza hizi copper za mtaa huu zina leakage kiasi cha kusababisha internet iwe ya ON&OFF

Wakaniambia kuna siku internet utakuwa huipati kuna siku utakuwa unaipata.

Nikawaambia basi mi nitavumilia nyie msinionee huruma niwekeeni hivyo hivyo.

Cha ajabu wakawa hawataki tena kuweka pamoja na kwamba nimeridhia kwa changamoto hiyo, wakawa wanajiuma uma tu wakilalamika kuwa haitakuwa fair ulipie huduma ambayo sio ya uhakika. Mara sijui kwanza hii huduma ya copper tunataka tu terminate isiwepo kabisa

Sasa kilichokuja kunichanganya ni oale walipokjwa wanasema nyaya hizo ni compatible kwa huduma ya voice tu, yani ukiwekewa huduma ya voice hakuna mkwamo wala kizuizi ila nyaya hizo hizo kwenye swala la internet zinakuwa kipengele.

Wakasepa bila kuniwekea, nikawapigia tena customer care nikawaambia mlikuwa na maana gani kuandika copper kwenye form yenu ilihali huduma zake ni za kusua sua

Customer care inaonekana waliwaita wale survey na kuwaambia kuhusu malalamiko yangu maana walinipigia simu wakiniambia watakuja kuniwekea hivyo hivyo
 
Vifaa ni router ya Adsl na Converter inayo convert hiyo copper kuja waya wa kawaida unaoingia kwenye router.

Converter
20220612_234853.jpg

Router
20220612_234922.jpg

Kama unajiamini uhuru na msimbazi used adsl router zipo kibao, as cheap as 5000,

Official price ya TTCL ni 55,000 kwa setup fee, na ukiongea na Fundi anaweza kukusaidia kukutafutia vitu incase TTCL vimeisha.

Na kwa speed ni ya kawaida, huvuti adsl sababu ya Speed kubwa, adsl ina value tu, kwa familia zetu za kimasikini inatuokoa.

Mambo ya kawaida youtube, kudownload, netflix etc inafanya kama kawaida. Ila kitu chochote kinachotegemea upload speed itazingua.
 
Umewadadisi zaidi kuhusu Fiber? Kuna maeneo Fiber wanafunga bure. Na fiber yao inaanzia 50,000 kwa 20mbps. Mara 100 uchange na mtu na Fiber kuliko kuvuta Adsl.
 
Mkuu nilitumia nguvu kubwa sana kuwa convice nipate internet ila wanazingua mno

Niliambiwa Fibre inafika popote, ila eneo langu hakuna fibre na gharama zake mpala ifike ni 2M

Mimi nilikuwa tayari kutoa hata 500k lakini bado wameniwekea ukungu
 
Vifaa ni router ya Adsl na Converter inayo convert hiyo copper kuja waya wa kawaida unaoingia kwenye router.

Converter
View attachment 2258858

Router
View attachment 2258859
Kama unajiamini uhuru na msimbazi used adsl router zipo kibao, as cheap as 5000,

Official price ya TTCL ni 55,000 kwa setup fee, na ukiongea na Fundi anaweza kukusaidia kukutafutia vitu incase TTCL vimeisha.

Na kwa speed ni ya kawaida, huvuti adsl sababu ya Speed kubwa, adsl ina value tu, kwa familia zetu za kimasikini inatuokoa.

Mambo ya kawaida youtube, kudownload, netflix etc inafanya kama kawaida. Ila kitu chochote kinachotegemea upload speed itazingua.
Kwa hiyo full onstallation ni 55k hakuna hela zaidi ya hapo?

Mimi niliwaambia nje na hela yenu hiyo mi nitawapa fungu lingine nyie hakikisheni wazungu wamekaa hapa lakini wakafakisha
 
Habari za wakati wadau;

Kwa ambao wamewahi kutumia huduma za TTC internet kwa upande wa Copper Cable connection naomba mnipe mrejesho juu ya utendaji wake ukoje katika speed na kadhalika

installation cost ni sh ngapi means vifaa na ufundi total ni sh ngap nimeenda TTCL wameniambia vifaa unaweza nunua mwenyewe je ni vifaa gan ivo
Una nunua tu ADSL MODEM WIREKESS AU YA KAWAIDA BEI HAIZIDI 55,000/= NA UKIOATA USED NI KAMA 30,000/=, HIYO TU YATOSHA, WANAKUJA WANAWKA WIRE NA SETTING KWENYE MODEM KWA KUTUMIA COMPUTER YAKO INTERNET TAYARI.
 
Vifaa ni router ya Adsl na Converter inayo convert hiyo copper kuja waya wa kawaida unaoingia kwenye router.

Converter
View attachment 2258858

Router
View attachment 2258859
Kama unajiamini uhuru na msimbazi used adsl router zipo kibao, as cheap as 5000,

Official price ya TTCL ni 55,000 kwa setup fee, na ukiongea na Fundi anaweza kukusaidia kukutafutia vitu incase TTCL vimeisha.

Na kwa speed ni ya kawaida, huvuti adsl sababu ya Speed kubwa, adsl ina value tu, kwa familia zetu za kimasikini inatuokoa.

Mambo ya kawaida youtube, kudownload, netflix etc inafanya kama kawaida. Ila kitu chochote kinachotegemea upload speed itazingua.
Speed yake ikoje? Nilikuwa napanga kutafuta hii huduma kwa ajili ya nyumbani
 
Habari za wakati wadau;

Kwa ambao wamewahi kutumia huduma za TTC internet kwa upande wa Copper Cable connection naomba mnipe mrejesho juu ya utendaji wake ukoje katika speed na kadhalika

installation cost ni sh ngapi means vifaa na ufundi total ni sh ngap nimeenda TTCL wameniambia vifaa unaweza nunua mwenyewe je ni vifaa gan ivo
Installation ni bure unanunua modem tu. Speed ipo vizuri sio chini ya 12 mb/sec,
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom