Kitumburee
Senior Member
- Jan 31, 2012
- 139
- 88
Habari zenu wana jamvi,
Nina swali kwa mwenye uzoefu au anaefahamu anijuze, imeainishwa kua fao la uzazi NSSF linatolewa kwa mwanachama mwenye michango 36 ktk mfuko na michango 12 iwe imelipwa mfulilizo kabla ya tarehe ya kujifungua.
Je, mwanachama ambae ana michango NSSf ya miezi 16 mfululizo kabla ya tarehe ya kujifungua lakini pia ana michango ya miaka 8 ktk mfuko wa PPF ambao kwa sasa umehamishiwa PSSF baada ya mifuko kuungana.
Je, Ni kweli ukipeleka ombi la kupewa fao la uzazi kwa kuambatanisha na statement ya michango yake ya PPF atakua amekizi vigezo na atapatiwa fao la uzazi?
Nitafatilia hili suala NSSF siku za mbeleni ila kwa sasa anaefahamu anijuze.
Shukrani