Msaada: Jinsi ya kujizuia kumwaga ndani ili kuzuia mimba

Singida ndio home

JF-Expert Member
Feb 23, 2012
3,192
3,353
Wanajamvi i hope mpo poa, kuna njia ya uzazi wa mpango inaitwa withdrawal, unapokaribia kufika kileleni unauchomoa uume na kumwaga manii nje ya uke, sasa kwangu hii njia imekua complete failure yaani tangu nianze hii njia nmeweza kufanikiwa mara mbili tu katika mechi 15,

Naombeni msaada wenu kwa ambao mna uzoefu nifanye kitu gani ili niweze kujicontroll nsiishie kumwaga ndani ya uke maana kwa sasa bibie yupo siku salama huenda hii njia ikanicost akifikia siku za hatari...

NB; Kila njia ya mpango wa uzazi ina mapungufu yake ila mimi ninataka niwe mzoefu wa hii njia
 
upload_2016-11-11_21-2-6.png

kama huwezi usilazimishe!!!!
 
Angalia porn utajifunza mengi kule ndo mafundi wahizo mambo ila kwangu withdraw nikaz nyepes mnoooo
 
Kimsingi hii njia ndio ninayotumia, na mpaka sasa haijawahi niangusha, njia rahisi ni kuhakikisha unapotaka kumaliza wewe ndio uwe unakontrol shughuli.
Mfano ukitaka kumaliza hakikisha wife hajishughulishi ila wewe ndio unakuwa muhusika mkuu. Style nzuri ya kufanyia mazoezi ni dogie style.
 
Hili swali gumu sana. Ni kama unaomba tukufundishe kuendesha gari kupitia text. Any way nitajaribu kidogo.

1. Ili uweze kutumia njia hii vizuri lazima uwe na self control. Yaani ukisema ni come una come, ukisema hutaki ku come ha u come kweli. Hii ni watu wachache tunaweza ku amua ni wakati gani u come.

2. Hata kama huwezi kuamua ucome au la, unatakiwa kujua unapokaribia ku come. Unapo karibia ku come unasikia utamu unaongezeka..na ndo hapo unatakiwa kuchomoa. Nafikiri wewe ukisikia utamu huwezi kuuachia....unasikilizia weee hadi unakojoa ndani. Inatakiwa ukisikia tu dalili na kama unajijua haikupi tabu...ile unakojoa tu unatoa nje.

Miaka yote natumia hii njia, imefail mara moja, akapatikana huyu mtoto wetu wa mwisho. Tuna watoto wa 3 na wote wana spacing ya 5 years. Mtoto wa kwanza tulipata tukiwa shule. Ila pia inatakiwa mwanamke aweze kuhesabu siku zake vizuri.
 
best and safe way kwa mimba zisizotarajia cha msingi uwe na self control au mpenzi wako akukontrol pale anapohisi unataka kukojoa
 
Back
Top Bottom