Mrisho Mpoto anapata tabu sana kutembea peku

Kwan huyu ni nani na ana issue gani huko au ni mganga maarufu huko dar? Hakika simjui mtu huyu.
 
Ndivyo alivyowadanganya?
Mwenzenu anavaa sendo! Akiona camera anavua anakaa peku

Nilimuonaga Boma kwa mkuu wa mkoa na Sendo zake hana habariiii
zamani nilimuona Kino anashuka kwenye mPrado wake amevaa sandals. muhuni huyu
 
Ni mambo ya ulimwengu wa roho, kuna tajiri mmoja nae anatembelea kanda mbili ambazo zimezeeka. Mafanikio mengine ni mateso. Kuna waliofanikiwa wanajutia walichofanya wanashindwa tu kusema.
mpoto sio cha mambo yenu hayo. kutembea peku kuna faida za kiafya. hata nawe mara nyingine pendelea kutembea peku.
 
Back
Top Bottom