Mrisho Mpoto alitembea PEKU nchi nzima na Nyumba ni choo ila CHATO inanuka KINYESI kila kona.

sifi leo

JF-Expert Member
Mar 30, 2012
5,016
8,375
Hivi yawezekana Mrisho Mpoto na kampeni ya nyumba ni choo haikufika chato kwa maana palikuwa nyumbani kwa mzirankende na ingeonekana ni aibu nyumbani kwake watu wanajisaidia vichakani badala ya chooni?

Nimeishi Dar esalaamu pale Namanga mtu yoyote anae fika Da resalaam Karne hii anaweza hasiamini yakuwa Da r esalaamu enzi hizo mvua zikinyesha moja ya kero kubwa ilikuwa ni fungulia bomba la mavi kwa kila aliyekuwa na nyumba.

Hakika walio kuwa wakiishi eneo la bonde la mpunga na Magunia msasani walikanyaga sana mavi yetu watoto wa ushuani pale namanga(kama kweli ni ushuani,ukiwa barabarani utaamini ila ni uswailini vibaya mno).

Yaliyojili enzi hizo Namanga ni tofauti na yanayojili Chato leo hii uwezi amini chato mvua zikinyesha hakun mitaro inayotililisha maji machafu bali harufu za vinyesi zilizozagaa kwenye vichororo vya kuta za nyumba,vichakani ndo zimejaani yaani mazingira ni machafu kweli kweli.

Na ili naisi linasababishwa na hasili ya watu wa kanda ya ziwa yaani wasukuma,wanyamwezi,wahaya wao kusukuma gogo na kupangusia nyasi au jani la mgomba naisi ni kawaida.

Lakini pia inasemekana yakuwa wao wanaogopa sana kutumbukia shimoni ndio.maana wao wapo tayari kama mvua inayesha achukue jembe achimbe kashimo kaduchuuuu atupie mzigo na kusepa kujipangusa kwa jani imetoka hiyo.

Nashauri kampeni irudi ila isirudi kwa strategies ya KUTEMBEA MIGUU PEKU HAINA TIJA."
 
Watu wenye vichwa na midomo modeli ya Mrisho mpoto ni zero brain
 
Hiyo ipo usukumani hasa ndani ndani, unakuta boma lenye kaya karibia 8 kuna bafu tu wamejenga ila vyoo hamna.
 
Hivi yawezekana Mrisho Mpoto na kampeni ya nyumba ni choo haikufika chato kwa maana palikuwa nyumbani kwa mzirankende na ingeonekana ni aibu nyumbani kwake watu wanajisaidia vichakani badala ya chooni?

Nimeishi Dar esalaamu pale Namanga mtu yoyote anae fika Da resalaam Karne hii anaweza hasiamini yakuwa Da r esalaamu enzi hizo mvua zikinyesha moja ya kero kubwa ilikuwa ni fungulia bomba la mavi kwa kila aliyekuwa na nyumba.

Hakika walio kuwa wakiishi eneo la bonde la mpunga na Magunia msasani walikanyaga sana mavi yetu watoto wa ushuani pale namanga(kama kweli ni ushuani,ukiwa barabarani utaamini ila ni uswailini vibaya mno).

Yaliyojili enzi hizo Namanga ni tofauti na yanayojili Chato leo hii uwezi amini chato mvua zikinyesha hakun mitaro inayotililisha maji machafu bali harufu za vinyesi zilizozagaa kwenye vichororo vya kuta za nyumba,vichakani ndo zimejaani yaani mazingira ni machafu kweli kweli.

Na ili naisi linasababishwa na hasili ya watu wa kanda ya ziwa yaani wasukuma,wanyamwezi,wahaya wao kusukuma gogo na kupangusia nyasi au jani la mgomba naisi ni kawaida.

Lakini pia inasemekana yakuwa wao wanaogopa sana kutumbukia shimoni ndio.maana wao wapo tayari kama mvua inayesha achukue jembe achimbe kashimo kaduchuuuu atupie mzigo na kusepa kujipangusa kwa jani imetoka hiyo.

Nashauri kampeni irudi ila isirudi kwa strategies ya KUTEMBEA MIGUU PEKU HAINA TIJA."
Wewe ni mshamba mpumbavu.
 
Huo ukanda hadi leo wanachimba vichakani ili kunya.
 
Back
Top Bottom