Mrembo by nature utaniacha lini..?

Zero One Two

JF-Expert Member
Sep 16, 2007
9,347
3,023
Mrembo by Nature, Jumamosi ulinifanya niwe nafuraha na kuona dunia nzima niyangu kwa raha ulizonipatia.... hadi sasa ivi nikikumbuka yaani yaani dah! basi tu, sasa nauliza utaniacha lini au kabla ya kuniacha kutakua na jumamosi nyingine special kwa ajiri ya kuniacha?

Copy: Sandeni, Baba V, king kan
 
Last edited by a moderator:
Ninachotaka ni muungano hayo mambo ya vyama tutayamaliza ndani tukiwa wenyewe
Sawa eeeh

Tutaungana ila sector muhimu zoote nitasimamia mimi....mf. ATM card yako na account yako ya bank, hati zote za nyumba na mashamba zitakuwa chini ya himaya yangu
 
Tutaungana ila sector muhimu zoote nitasimamia mimi....mf. ATM card yako na account yako ya bank, hati zote za nyumba na mashamba zitakuwa chini ya himaya yangu
Hizo sekta kwangu sio ishu we miliki kila kitu ila mi nimilikishie kifanyio tu baaasi!

Copy kwa The secretary
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom