Mpwapwa: Tundu Lissu apokelewa kwa kishindo, Afundisha Wananchi kuhusu Muungano, wote wamuelewa

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
118,512
220,203
Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba, leo Tarehe 8 May 2024, Makamu Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu bado yuko Mikoani akihutubia na kufundisha Wananchi kuhusu sheria mbalimbali za Tanzania, Yakiwemo masuala yanayohusu Muungano wa Tanganyika na Zanzibar.

Hakika huyu Mtu ana mvuto wa ajabu sana! hebu fikiria umati kama huu Mpwapwa, eneo ambalo miaka michache iliyopita wananchi waliamini kwamba ccm ni dini na kwamba kuipinga ni kutenda dhambi

Lakini Lissu katoa somo na wananchi wameelewa somo Wallah Wabhillah!

Hebu jionee mwenyewe

Screenshot_2024-05-08-17-18-59-1.png
Screenshot_2024-05-08-17-19-54-1.png
Screenshot_2024-05-08-17-19-39-1.png
Screenshot_2024-05-08-17-18-48-1.png
Screenshot_2024-05-08-17-19-30-1.png
 
Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba, leo Tarehe 8 May 2024, Makamu Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu bado yuko Mikoani akihutubia na kufundisha Wananchi kuhusu sheria mbalimbali za Tanzania, Yakiwemo masuala yanayohusu Muungano wa Tanganyika na Zanzibar.

Hakika huyu Mtu ana mvuto wa ajabu sana! hebu fikiria umati kama huu Mpwapwa, eneo ambalo miaka michache iliyopita wananchi waliamini kwamba ccm ni dini na kwamba kuipinga ni kutenda dhambi

Lakini Lissu katoa somo na wananchi wameelewa somo Wallah Wabhillah!

Hebu jionee mwenyewe

View attachment 2984737View attachment 2984739View attachment 2984740View attachment 2984741View attachment 2984742
Hata Nyerere aliitwa "HAAMBILIKI" hawataki kusikia but bdo kdg watasikia...
 
Kwa walio soma cuba tumekuelewa mtoa posti nini ulimaanisha ahsante kwa taarifa
 
Back
Top Bottom