Mpenzi wangu tangu apate kazi ametingwa sana, hana muda na mimi

Pole sana kijana.
Kwanza hapo niseme tu kwamba hauna mke, na huyo unaemuita msomi ni bwege tu mmoja anaedanganyika na nguo zinazo mbana anapo vaa.
Ebu piga chini hiyo kitu chap, na ukome hii tabia ya kujiona haujaendashule ndio uwe mnyonge lafa mkubwa wewe.
Tena hicho kikaragosi chako kingekua na kazi ya maana bilashaka hata kupumua usinge hema kabisa ..dadadeqi.
We Jamaa unaua mbavu zangu
 
Hallo ndugu zangu

Nina mchumba wangu ambaye tumepanga kuoana mimi na yeye mwaka kesho. Ila hali za huyo mchumba wangu mpaka sasa hivi na shindwa kuzielewa kabisa.

Mimi huyo mchumba wangu ni mtu ambaye amesoma ni msomi kabisa na anafanya kazi ya usecratary kwenye kampuni fulani apa mjini. Na mimi na fanya kazi zangu mjini apa za kawaida tu.

Sasa huyo mchumba wangu tangu apate kazi hiyo ni mtu wa ubize ubize tu kila saa yaani yeye hana mda wa kutulia nyumbani kabisa eti labda unaweza kuonana naye au kuongeya naye kwenye simu mda uo hana ni mtu wa ubize ubize na nikikutana naye mda wote yeye ni mtu wa kunikosoa kosoa hata kama yeye ndo ana kosa mda wote yupo ivo tu

Hivi ni njia gani ni tumie kuishi na mwanamke kama huyo au nimpege chini ni mtafute mwanamke ambaye ajasoma kama mimi
Maana hawa wasomi mmmm sio watu wazuri kabisa wanajiona wadogo zake Mungu
Tafuta mwenzake ili nawewe uwe bize na huache kumtafuta
 
typing yako tu inaonesha ushapigwa
 
Achana na mapenzi,,, Yakishaanza kukupeleka mbio hvo na mda wa kuishi unapungua...

Ukweli ni demu wako analiwa... Amekutana na watu standard kubwa kuliko wewe hvyo chukua hatua...

Nawewe mshushe cheo
 
Hallo ndugu zangu

Nina mchumba wangu ambaye tumepanga kuoana mimi na yeye mwaka kesho. Ila hali za huyo mchumba wangu mpaka sasa hivi na shindwa kuzielewa kabisa.

Mimi huyo mchumba wangu ni mtu ambaye amesoma ni msomi kabisa na anafanya kazi ya usecratary kwenye kampuni fulani apa mjini. Na mimi na fanya kazi zangu mjini apa za kawaida tu.

Sasa huyo mchumba wangu tangu apate kazi hiyo ni mtu wa ubize ubize tu kila saa yaani yeye hana mda wa kutulia nyumbani kabisa eti labda unaweza kuonana naye au kuongeya naye kwenye simu mda uo hana ni mtu wa ubize ubize na nikikutana naye mda wote yeye ni mtu wa kunikosoa kosoa hata kama yeye ndo ana kosa mda wote yupo ivo tu

Hivi ni njia gani ni tumie kuishi na mwanamke kama huyo au nimpege chini ni mtafute mwanamke ambaye ajasoma kama mimi
Maana hawa wasomi mmmm sio watu wazuri kabisa wanajiona wadogo zake Mungu
Shituka wewe, hutakiwi hapo
 
Back
Top Bottom