Money Penny
JF-Expert Member
- Jun 20, 2016
- 15,930
- 14,827
Penny buana me nina makasiriko.
Mpenzi wangu buana amenipiga laki 5 akanikimbia akaja Dar.
Sa namtafuta mpaka kwao.kumbe kwao ni kwa mchongo.
Simu hapokei.
Money Penny: Hizo hela mlipeanaje mpaka useme umeibiwa?
Mhanga: alisema mdogo wake anaumwa, anatakiwa afanyiwe opereshen mbeya, amepungukiwa laki 5 nimsaidie.
Money Penny: Mgonjwa amepona?
Mhanga: Alisema amekufa anaenda kuzika kumbe uongo yuko Dar
Money Penny: Mahusiano yenu ya muda gan?
Mhanga: Miezi 3
Money Penny: Du!
Eti we mwana JF unamsaidiaje juyu mhanga? Anasema yeye ni mtu wa Kigoma atamloga.
Kabla hajamloga afanyaje?